Mihayo Wilmore anayedaiwa kumpiga mkewe Nackitia Nyange "kipigo cha mbwa koko" ni nani?

Those psychological stunts waachie wazungu, huku afrika ni kipondo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante Baba Paroko, ujumbe umewafikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani wanaume mnafurahisha
Hivi kumzalisha unahisi una muadhibu yeye tu au hata wewe?
Aisee sisi watu weusi tuna nini lakini [emoji28][emoji28][emoji28]
Kwenda leba Mara 3 (normal delivery) zalima uwe na adabu kwa mumeo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama nakuona vile, unavyotembeza kipigo cha haja na maisha yanaendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mkuu huyu mihay mnaemjua mnemuelezea kwa sifa lukuki kwamba ni supersmart', creative, ana super international network, nk.

Ni wazi angetakiwa kuwa somewhere kwenye makao makuu ya africa's top companies huko south africa, lagos, cairo, casablanca, gaborone, luanda, nairobi,nk. Huyu inaonekana ni kichwa, si kutema yai tu!!

Yet yupo bongo na kazi anayofanya haijaweza kumtambulisha kitaifa kama ni mtu mwenye kipaji adimu. Hata kama amepata mafanikio bongo, inaonekans hayaendani na sifa mnazompa!!! Kwani fani yake ni ipi hasa na anafanya kazi shirika gani la maana?

Je, kumpiga mkewe/kusambaratika kwa ndoa hakuchangiwi na kuchanganyikiwa kidogo kimaisha (dis-illusionment) kutokana na uwezo wake kutotumika ipasavyo? Labda angeweza kuwa kwenye level flani kubwa zaidi ya hiyo kiasi kwamba hata asingemuoa huyo nackitia? Labda nackitia angepata mume wa level yake?

Kwa namna mlivyomuelezea ni muda muafaka wenye kufanya maamuzi wamtupie jicho huyu bro ili kuweza kuvuna ujuzi na kipaji chake ipasavyo.

La sivyo, vichwa vya mishe town vinaweza kumtumia hata akajikuta anaishia pabaya!!!
 
i think wanaosema hawawezi piga mwanamke hawajawahi kutana na pasua kichwa kwenye hii dunia.I once said that,ila nilikuwa na demu mkenya)mkikuyu wa =gidhurai» back then is when nilijifunza kutumia mikono kunyamazisha mtu.
Githurai number 43 or 44 to Kahawa west.
Acha tu naelewa unachomaanisha.
 
Mkuu we live in a very competitive world. Usidhani kwamba ukiwa super smartni rahisi kuishia Google.

Watu wenye akili no wengi, inahitajika nyota, kibali Cha mwenyezi mungu pia.

Lakini watu wote wenye akili nyingi huwa wanarudi nyumbani kutatua changamoto doing A startup business.

As kwa mihayo ni IT consultant. Angalia mtu Kama Benj Fernandez karudi nyumbani ameanzisha Kampuni yake.

Recently I saw mihayo na wabobezi wa Costech najua he is cooking up something big.

Usikariri Kila mwenye akili lazima aishie African development bank ni utashi wa mtu binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hasira zipo juu sana mkuu1
Mtu smart unapigaje mwanamke vile?!!..tuache uongo wakati mwengine!!!..jama angekua na maconnection hayo angeenda mwananchi Digital?...jamaa mnampa sifa sana

Sent using tofali la kuchoma
 

Mkuu usini crash kwamba nimekariri wakati nimeandika bila hizo taarifa ambazo umenipa. Ndio maana nimependa kujua fani yake na anafanya nini. Maana nimefuatilia uzi kuna mahali nimeona hela za CRDB nikabaki na maswali.

Sasa umenielewesha nimeelewa. Fernandez namfahamu na namuunga mkono anachofanya. Sasa kama mweleleo ndio huo basi bro anahitaji support.
 
Burnaboy easy up brother. Watu wenye akili na elimu yenye kiwango inafundishwa na kumkuza mtu ajiajiri Mara nyingi aanzie chini then apande juu akiwa amejenga brand yake.Na sio kuajiriwa unless uwe mtafiti Kama kina Luzango mfupe( mgoogle huyu mbongo mbobezi Yuko south utauona mziki wake)

Crdb Wana kutofautiana na Mihayo nadhani kwenye certain product aliyoidevelop kwa ajili yao according to a member here in JF.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu hapa ndo nazidi kumwelewa.
Kwa ujumla ingawa mwanzo nilishangazwa kwa kitendo kile, concern yangu ni ya mwelekeo wa kumtakia kheri
 
Aiseeeee.
 
Nacky sio mpare. Get your facts right.
mm nilidhani ni Mpare pure, basi jamii za Wasambaa au wanguu (Nacky Nyange)
msikilize na mwanamke pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…