Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

Miili 1500 ya Wapiganaji wa Hamas imepatikana Israel

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.

VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.

Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”

Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.
 
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.​

VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.​

Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”​

Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.​

Prisoner exchange haikwepeki.

Pray for peace in middle east...🙏🙏🙏
 
[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS

Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.

Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.

If this news is true, basi

Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197
Screenshot_2023-10-10-22-29-30-993_com.twitter.android.jpg
 
[emoji298][emoji298] BREAKING NEWS

Kuna taarifa mbaya sana inayosambaa mitandaoni kuwa miili ya watoto wadogo wa Israel wapatao 40 imekutwa imechomwa moto huku mingine ikiwa imekatwa vichwa katika moja ya kijiji kilichokombolewa na Israel kutoka kwa Hamas.

Inasemakana watoto hao walichomwa moto wakiwa hai.

If this news is true, basi

Mwenyezi Mungu azilaze Roho za malaika hawa mahala pema peoni Amina.View attachment 2778197View attachment 2778198
Allah wao ndio anapenda ukatili kama huu. Nonsense
 
Tulisema kuna watu watakuja kulia lia hapa. Bunge la Israel limeshamruhusu Netanyahu na makamanda wake wapige hao Wapare watakavyo, na wao hawatetea hao nguruwe.
Kichapo kipo pale pale, ndio kwanza tupo siku ya 04.
No chakula no gas, no water, no umeme mbona watajua hawajui.
 
SERIKALI ya Israel imesema jeshi lake limeshambulia mamia ya malango huko Ukanda wa Gaza usiku kucha baada ya Waziri Mkuu Benjamin Ntenyahu kusema kuwa majeshi ya nchi yake yalikuwa katika mwanzo wa mapambano dhidi ya wanamgambo wa Hamas.​

VOA imeripoti kuwa, Msemaji wa jeshi nchini Israel, Richard Hecht amesema kwamba miili 1,500 ya wapiganaji wa Hamas imepatikana ndani ya eneo la Israel kufuatia uvamizi wa Jumamosi, na kwamba hakuna mwanamgambo aliyevuka na kuingia Israel tangu Jumatatu.​

Miongoni mwa maeneo yaliyolengwa na Israel ni pamoja na ujirani wa Rimal ulioko Gaza City, ambao ni makazi ya wizara na majengo ya serikali ya Hamas. Katika hotuba yake Jumatatu, Ntenyahu alisema kwamba, “Kile watakachokifanya kwa adui wetu kitakumbukwa kwa vizazi vijavyo.”​

Hamas kupitia msemaji wake ilisema kwamba wapiganaji wake wanaweza kuwaua mateka wa Israel 150 wanaowashikilia, mmoja baada ya mwingine kila wakati Israel inapowalenga raia bila kutoka tahadhari. Waziri wa Ulinzi wa Israel Yoav Gallant kupitia taarifa ya Jumatatu alisema kwamba Israel ingekatiza huduma zote muhimu kwa Gaza zikiwemo umeme, chakula, maji na gesi.​

Bado hawajajua tu kudanganya!?..yaani 1500 kamili!!..wangesema hata 1576 wangeonekana wakweli zaidi au zaidi ya 1500
 
Back
Top Bottom