Kichogo
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,094
- 3,218
Kwakwel nimewaheshim wazayuni miaka yote ila kwahili wameziangusha mno yan wamevamia ndani yanchi yao inayoaminika inauliz mkal zaid tena nawavaa kobaz kibaya zaid wameteka had wanajesh wakaua watakavyo yan kama hamas wangekua nanguvu ndan yasaa 24 tel Aviv ingetekwa.... Hapa inabid mossad ipigwe msasa ndomana marekan fasta kaja kuokoa jahazNani anaweza kuthibitisha Maigizo ya Natenyahu,upenda penda sifa na kujifanya yeye zaidi, juzi kadhalilishwa vibaya sana na kikundi cha HAMAS mchana kweupe, tuliwaona vijana wa Kipalestina wakiiingia karibu kila nyumba na kuwateka Waisrael, je, MOSSAD walikuwa wapi di ujiganya wao zaidi katika masuala ya ujasusi Duniani mbona siku huko Taifa zima la Israel lilikuwa taken by suprise - hui nfio mwanzo mnajua siku za usoni watakuja na mbinu gani mpya - don't you under rate them HAMAS - Dunia ufundisha mara zote kwamba uonezi una mwisho wake.