jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Kwakwel nimewaheshim wazayuni miaka yote ila kwahili wameziangusha mno yan wamevamia ndani yanchi yao inayoaminika inauliz mkal zaid tena nawavaa kobaz kibaya zaid wameteka had wanajesh wakaua watakavyo yan kama hamas wangekua nanguvu ndan yasaa 24 tel Aviv ingetekwa.... Hapa inabid mossad ipigwe msasa ndomana marekan fasta kaja kuokoa jahaz
Unakumbuka 1974,kajifunze hiyo historia ya vita kisha uje hapa.