Paschal qamara
JF-Expert Member
- Aug 17, 2022
- 2,218
- 3,958
Dhehebu lipi mfano weka na ushahidiMkuu, bila kupepesa macho, yapo madhehebu ya kikristo yanafundisha waumini wao chuki dhidi ya Waislam.
Wenyewe wanamuona Muislam ni adui yao mkubwa, kwakweli inakera sana.
Hasa humu JF, huo upuuzi umejaa sana, na katika uchunguzi wangu nimegundua kua wamikoani ndio wanaongoza huo upuuzi.
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app