Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Miili ya waliofariki Kariakoo ikiwa tayari kwa kuanza kuagwa

Hilo ghorofa lilijengwa mwaka gani? Kuna wakati, hata kama mtu humpendi, usimsingizie kitu kisa unachuki naye.
Mbona maghorofa mengi nchi za wenzetu ni ya miaka mingi sana lakini hayaporomoki?

Kwani ikulu ni ya mwaka gani?
Ina umri sawa na ghorofa hilo la juzi?
 
Siku moja kabla ya jengo kuanguka nilienda pale kuomba kibarua, wakati nasubiria subiria nikapigiwa simu niende mtaa wa Arusha kuna kazi.
Sasa najiuliza pale ningèpata kazi sijui ningekuwa marehemu au ningeokolewa
Umepata funzo kuwa achana na kazi utapoza uhai kwa jambo la kijinga. Lala hm tu hutadondokewa na ghorofa hataaa
 
Siku moja kabla ya jengo kuanguka nilienda pale kuomba kibarua, wakati nasubiria subiria nikapigiwa simu niende mtaa wa Arusha kuna kazi.
Sasa najiuliza pale ningèpata kazi sijui ningekuwa marehemu au ningeokolewa
RIP.
 
Mbona maghorofa mengi nchi za wenzetu ni ya miaka mingi sana lakini hayaporomoki?

Kwani ikulu ni ya mwaka gani?
Ina umri sawa na ghorofa hilo la juzi?
Nakuelewa sana. Hata hall 5 na hall 2 pale UDSM ni ya enzi hizo. lakini uwepo wa hayo hauhalalishi uporomokaji wa haya ya sasa..!!
 
Siku moja kabla ya jengo kuanguka nilienda pale kuomba kibarua, wakati nasubiria subiria nikapigiwa simu niende mtaa wa Arusha kuna kazi.
Sasa najiuliza pale ningèpata kazi sijui ningekuwa marehemu au ningeokolewa
Nenda kamshukuru aliyekunyima kazi na uumpe asante yake,na zile dua mbaya ulizomuombea alipokunyima kazi muombe Mungu wako azifute haraka iwezekanavyo!!
 
Kifo ni fumbo lisilo na jibu, hatujui tutakua lini, wapi na sababu ipi, yote kwa yote mi Mungu ajuaye, tuendelee kuwaombea wapendwa wetu Mungu awape pumziko la furaha na amani, na sisi tutumie tutumie tukio hili kama funzo , tujiweke tayari na tuwe karibu na Mungu wetu Kila wakati.
 
Kinachofikirisha ni kuwa huko nako utawakuta MITUME na MANABII wetu wanaoweza kufufua wafu na kuzungusha binadamu kwa vidole na soli za viatu lakini hawajawahi kutupa UTABIRI wa MAJANGA yoyote wala kusaidia kuwafufua wapendwa wetu..

Kubwa zaidi wamewshindwa kwenda Kariakoo kuinua zile zege kwa vidole kwa jinsi ile ile wanavyotuzungusha majengoni kwao..
 
Wala tusistuke au kujifikiria limetupatwa kubwa sana.
Mwapalest7na wanaishi hivyo zaidi ya maiak 76 sasa.

Wengine qanaombewa dua hapo hapo kwenye vifusi. Na kuna Watanzania qanafurahia hilo.

Na kuna vijana wa Kitanzania wamepelekwa huko kuwasaidia mazayuni.
. Hata Waislam waliootaka kuandamana kulaani mauwaji ya kimbari huko wakazuiliwa.
 
Back
Top Bottom