econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV