econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
- Thread starter
- #41
Sasa si waende tu pale Lebanon kwanini wanazunguka m'buyu!!!! wanaogopa nini kuwafata nyumbani kwao na tuliona waliandaa IDF elf 50000 imekuwaje wamegeuza sasa wanataka kuwavizia wakiwa na kazi nyengine waoga waoga tuwe Wakweli wamatumbi wenzangu wameaibika ktk macho y Dunia
Israel wapo ndani ya Lebanon. Wamechukua maeneo ya Kusini mwa Lebanon. Hizbullah kafurimushwa kwenye base zake huko Kusini. Lengo la Israel sio kuiteka Lebanon yote Bali kuwaondoa Hizbullah Kusini mwa Lebanon ili wasiwabugudhi raia wa Israel walioko Kaskazini mwa Israel. Kumbuka Israel haipambani na jeshi la Lebanon Bali jeshi la Hizbullah ambalo ngome yake ni Kusini mwa Lebanon.