Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

Tangu jana wamepigwa kambizao adi sasa sijasikia kama Israel imekiuka tena Mkataba wa usitishaji na waliambiwa iyo onyo tu,. Wameufyata au wamerusha kitu Lebanon!!
 
Watawaonea wanyonge tu Gaza vile wamewazingila kitambo sasa lkn wangekuwa free kama Lebanon vita vingeshaisha muda tu. Adui apendi kufa muoga w kufa.
 
Zile story ohhh Entebe ohh vita siku 6 ndio awa makomando wao mbele ya Dunia wamekimbia kusini mwa Lebanon kupambana kiume na Hezbullah mbaya zaid awataki Mkataba na Gaza lkn wamekubali mkataba na Hezbollah aibu hii yani tatizo Gaza awana vitu vikali vyakuitetemesha Telaviv awana Drone awa ndio IDF inataka vita nao!!! Taifa teule vita siku6 maisha ya uwongo kujitukuza kwa uwongo mwisho wake ndio huu tunauwona.
 
Iyoiyo Gaza bado IDF wamekufa kibao. Na bado wanakufa mateka bado wanakula mlo 1 wanaomba kwenda chooni kwa vijana w Hamas miez 14 sasa. Keleee Na propaganda zao BBC na kwengine hooo Entebe heeerr siku6 Mwarabu kakaaa ayo makeke tuyaone mkikomboa watu wenu wapi mnaweka Pesa mezani kila mateka m1, !! mbona kule Entebe amkuweka pesa pengine ingeokoa Waganda n wajeda wenu. Afu tukisema nguvu ya Taifa teule ni Media lkn ukweli weupe iyo misifa mnawapa mngesifia vitu vyetu tungekuwa mbali.!!! Sijui wana akili nyingi akili nyingi wangeishi nchi ya vita vita mm unidanganyi kwenda kuishi kwamijinga ile.
 
Mayahud kuweni na huruma mtachomeka siku ya kiyama wakat sie tukila bikra alizotuahidia mola wetu
 
IDF imeanza kuwafuata Hezbola huko huko Syria jana imewashambulia kinoma
Sasa si waende tu pale Lebanon kwanini wanazunguka m'buyu!!!! wanaogopa nini kuwafata nyumbani kwao na tuliona waliandaa IDF elf 50000 imekuwaje wamegeuza sasa wanataka kuwavizia wakiwa na kazi nyengine waoga waoga tuwe Wakweli wamatumbi wenzangu wameaibika ktk macho y Dunia
 
BBC tunajua ni idhaaa y propaganda za West sio w wakweli.

Wewe kumbe upo nyuma. BBC na Aljazeera wapo upande wa Hamas na Hizbollah. Aljazeera wameenda mbali na kuita genocide. Fuatilia current news uone.
 
Sasa si waende tu pale Lebanon kwanini wanazunguka m'buyu
Kule Syria ni uwanja wa Vita na makubaliano ya Ceasefire ya Lebanon yanahusu ndani ya Mipaka ya Lebanon na pia Israel inataka utawala wa Assad uanguke ili Ayatolah akose sehemu ya kupenyeza Silaha kwenda Hezbola.

Umeiona hiyo Game?!😆😆😁
 
Wafia dini watakuja na vipropaganda israel inaua wanawake na watoto lebanon na gaza kama vile wapiganaji wa hamas na hezbollah hawafagi?

Israel imekuwa wanajeshi wengi wa Hamas na Hizbollah.
 
Na ile miili ya IDF vipi itazikwa lini

Ilishazimwa zamani Sana. Ya Hizbollah haikuzikwa ilihifadhiwa kwenye mashimo wakisubiria mapigano yaishe. Fuatilieni habari.
 
Huo ni uongo maana tulikuwa tunaambiwa wanaolengwa ni watoto na wanawake

Ni kweli mkuu. Fuatilia BBC na Aljazeera. Jana familia zilikabidhiwa miili kwenye masanduku walazike. Ilikuwa huzuni Sana. Kuna dogo alikuja kuchukua mawili wa baba yake. Huzuni Sana.
 
Ni kweli. Maghala, viwanda na ofisi zote beirut zimepigwa kiberiti na Israel. Hivi sasa wanajitutumua na vijisilaha walivyoficha mashimoni. Nako wameshaambiwa wakabidhi eneo kwa Jeshi la Lebanon. Hawana ujanja tena.

Ni kweli kabisa. Moja ya makubaliano ya ceasefire ni kwamba Hizbulla waondoke kule Kusini na Hilo eneo liwe Chini Cha jeshi la Lebanon.
 
Waiambie Serikali ya Lebanon kuwa wanataka kuendelea na vita. Serikali ya Lebanon ndiyo iliomba ceasefire.

Israel imesema ipo tayari kupigana na hezbollar na jeshi la Lebanon kwa pamoja.

Sema jeshi la Lebanon limekubali kwenda Kusini kuchukua maeneo ya Hizbollah.
 
Kwaiyo kuita tu genocide ndio wapo pamoja nao. Iyo Aljazeera yenyewe aipo free na washawai kili kuwa wao wenyewe wapo kwenye mfumo ambao inawabidi wafate wanachoambiwa. Ata Azam Media ivyoivyo Walibanwa wazitoe CCTV y China na RT y Russia.
 
Kwaulewa wako tuseme na Serikali ya palestine chini ya Mahmud Abbas inaweza omba iyo Ceasfire na ikakubaliwa!! tuweke Wakweli sio kuwa nguvu za Hezbollah ndio Sababu kuuu. Si tuliona miji ya Israel inawaka moto au nimeona pekeyangu mkuu wewe ukuona!!!!!

Wewe unaongolea kuwaka moto, wakati watu wamepoteza Viongozi wote wakuu na mpaka kupelekea magenerali wawili wa Iran kufariki. Kumbuka Hizbulla kashafurumushwa kule Kusini, anashambilia kutokea Syria.
 
Back
Top Bottom