Baambie pia iyoiyo BBC wamesema Hezbullah jana wameanza kupeleka moto upya kambi mbili zajeshi la Israel zimeunguzwa bbc wanadai Hezbollah wamedai iyo onyo tu. Mkiendelea tunaendelea nasisi kukiuka mkataba.Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Zungumzia mazishi ya halaiki ya wanajeshi wa Hezbollah. Wakati ule walikosa hata muda wa kuzika, mambo yalikuwa ni mengi. Ceasefire ni kwa ajili ya mazishiBaambie pia iyoiyo BBC wamesema Hezbullah jana wameanza kupeleka moto upya kambi mbili zajeshi la Israel zimeunguzwa bbc wanadai Hezbollah wamedai iyo onyo tu. Mkiendelea tunaendelea nasisi kukiuka mkataba.
Baambie pia iyoiyo BBC wamesema Hezbullah jana wameanza kupeleka moto upya kambi mbili zajeshi la Israel zimeunguzwa bbc wanadai Hezbollah wamedai iyo onyo tu. Mkiendelea tunaendelea nasisi kukiuka mkataba.
Labda kwa sababu watu wanasema vita biashara. lakini hii vita hezbollah hawawezi kushinda.
Iyo habari yako iweke apa sio polojo kuweka chanzo tu aitosh i .Zungumzia mazishi ya halaiki ya wanajeshi wa Hezbollah. Wakati ule walikosa hata muda wa kuzika, mambo yalikuwa ni mengi. Ceasefire ni kwa ajili ya mazishi
Wafia dini watakuja na vipropaganda israel inaua wanawake na watoto lebanon na gaza kama vile wapiganaji wa hamas na hezbollah hawafagi?Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Na ile miili ya IDF vipi itazikwa liniBaada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Huo ni uongo maana tulikuwa tunaambiwa wanaolengwa ni watoto na wanawakeBaada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Ni kweli. Maghala, viwanda na ofisi zote beirut zimepigwa kiberiti na Israel. Hivi sasa wanajitutumua na vijisilaha walivyoficha mashimoni. Nako wameshaambiwa wakabidhi eneo kwa Jeshi la Lebanon. Hawana ujanja tena.Labda kwa sababu watu wanasema vita biashara. lakini hii vita hezbollah hawawezi kushinda.
Waiambie Serikali ya Lebanon kuwa wanataka kuendelea na vita. Serikali ya Lebanon ndiyo iliomba ceasefire.Baambie pia iyoiyo BBC wamesema Hezbullah jana wameanza kupeleka moto upya kambi mbili zajeshi la Israel zimeunguzwa bbc wanadai Hezbollah wamedai iyo onyo tu. Mkiendelea tunaendelea nasisi kukiuka mkataba.
Kwaulewa wako tuseme na Serikali ya palestine chini ya Mahmud Abbas inaweza omba iyo Ceasfire na ikakubaliwa!! tuweke Wakweli sio kuwa nguvu za Hezbollah ndio Sababu kuuu. Si tuliona miji ya Israel inawaka moto au nimeona pekeyangu mkuu wewe ukuona!!!!!Waiambie Serikali ya Lebanon kuwa wanataka kuendelea na vita. Serikali ya Lebanon ndiyo iliomba ceasefire.
Israel imesema ipo tayari kupigana na hezbollar na jeshi la Lebanon kwa pamoja.
Ni kweli kabisa.lakini hii vita hezbollah hawawezi kushinda.
Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika. Miili ni mingi Sana .
Wanandugu wa wapiganaji hao wameshukuru kupewa miili ya ndugu zao hao waliokuwa wanatumikia Hizbollah na kwenda kuwazika kwa heshima zote za kidini na kifamilia.
Source: BBC News TV
Yenyewe ilikuwa inabebwa na ndege na ilikuwa inazikwa moja kwa moja.Na ile miili ya IDF vipi itazikwa lini