Sasa si waende tu pale Lebanon kwanini wanazunguka m'buyu!!!! wanaogopa nini kuwafata nyumbani kwao na tuliona waliandaa IDF elf 50000 imekuwaje wamegeuza sasa wanataka kuwavizia wakiwa na kazi nyengine waoga waoga tuwe Wakweli wamatumbi wenzangu wameaibika ktk macho y Dunia
Kwaiyo kuita tu genocide ndio wapo pamoja nao. Iyo Aljazeera yenyewe aipo free na washawai kili kuwa wao wenyewe wapo kwenye mfumo ambao inawabidi wafate wanachoambiwa. Ata Azam Media ivyoivyo Walibanwa wazitoe CCTV y China na RT y Russia.

Tangu jana wamepigwa kambizao adi sasa sijasikia kama Israel imekiuka tena Mkataba wa usitishaji na waliambiwa iyo onyo tu,. Wameufyata au wamerusha kitu Lebanon!!
Tangu jana wamepigwa kambizao adi sasa sijasikia kama Israel imekiuka tena Mkataba wa usitishaji na waliambiwa iyo onyo tu,. Wameufyata au wamerusha kitu Lebanon!!
Watawaonea wanyonge tu Gaza vile wamewazingila kitambo sasa lkn wangekuwa free kama Lebanon vita vingeshaisha muda tu. Adui apendi kufa muoga w kufa.
Na hapo alichovuna ndo matokeo hayo anazika halaiki ya miili ya wapiganaji wao waliouawa bila sababu za kimsingi.Hizbollah walijiingiza kwenye hii vita ambayo haikuwahusu. Hamas alipoishambulia Israel tarehe 7 October nao Hizbollah wakaanza mashambulizi dhidi ya Israel October 8, Yani kesho yake.
Zile story ohhh Entebe ohh vita siku 6 ndio awa makomando wao mbele ya Dunia wamekimbia kusini mwa Lebanon kupambana kiume na Hezbullah mbaya zaid awataki Mkataba na Gaza lkn wamekubali mkataba na Hezbollah aibu hii yani tatizo Gaza awana vitu vikali vyakuitetemesha Telaviv awana Drone awa ndio IDF inataka vita nao!!! Taifa teule vita siku6 maisha ya uwongo kujitukuza kwa uwongo mwisho wake ndio huu tunauwona.

Hakuna uonevu ukianzisha vita. Kuanzisha vita manake umejipima na kujizatiti vilivyo kwamba mtanange huo utaumudu ndipo unaliamsha. Ikitokea tofauti na jinsi ulivyodhania au mategemeo yako inabidi ukiri makosa na kuomba radhi kwa kujisalimisha. Ukikaza shingo, kichapo kitaendelea hadi mpiganaji wa mwisho atakapodondoka. Ndo mana Israeli alikataa Truce na HAMAS.Kumbuka Hamas ndio aliyeanza uchokozi. Hakuna aliyekuwa na time naye. Sasa amechapwa na Viongozi wake wote wakuu kuuawa kuanzia Haniye mpaka Sinwar. Uonevu upo wapi ?
Iyoiyo Gaza bado IDF wamekufa kibao. Na bado wanakufa mateka bado wanakula mlo 1 wanaomba kwenda chooni kwa vijana w Hamas miez 14 sasa. Keleee Na propaganda zao BBC na kwengine hooo Entebe heeerr siku6 Mwarabu kakaaa ayo makeke tuyaone mkikomboa watu wenu wapi mnaweka Pesa mezani kila mateka m1, !! mbona kule Entebe amkuweka pesa pengine ingeokoa Waganda n wajeda wenu. Afu tukisema nguvu ya Taifa teule ni Media lkn ukweli weupe iyo misifa mnawapa mngesifia vitu vyetu tungekuwa mbali.!!! Sijui wana akili nyingi akili nyingi wangeishi nchi ya vita vita mm unidanganyi kwenda kuishi kwamijinga ile.
Hakuna uonevu ukianzisha vita. Kuanzisha vita manake umejipima na kujizatiti vilivyo kwamba mtanange huo utaumudu ndipo unaliamsha. Ikitokea tofauti na jinsi ulivyodhania au mategemeo yako inabidi ukiri makosa na kuomba radhi kwa kujisalimisha. Ukikaza shingo, kichapo kitaendelea hadi mpiganaji wa mwisho atakapodondoka. Ndo mana Israeli alikataa Truce na HAMAS.
Sio kweli nyinyi mbona waongo waongo sana kilichokubaliwa na Wajeda wa SerikaliNi kweli kabisa. Moja ya makubaliano ya ceasefire ni kwamba Hizbulla waondoke kule Kusini na Hilo eneo liwe Chini Cha jeshi la Lebanon.
Kaka iyo Game ni mbaya kwa Israel wachovu wenu unajua luwa Iran inataka kutumia mgogoro huu w Syria ili kuleka Wajeda wake na kila kitu kinachoitajika vitani sio muda Israel itapoona Syria pachungu na ndio Sababu ya vita ya mojakwamoja kat y Iran n Israel yani itasubiliwa tu Israel ijitekenye!!!! Ngoja tuone mzozo w Syria ndio utotoa majibu. Lkn kaka Israel kashatepeta yupo hoiiiKule Syria ni uwanja wa Vita na makubaliano ya Ceasefire ya Lebanon yanahusu ndani ya Mipaka ya Lebanon na pia Israel inataka utawala wa Assad uanguke ili Ayatolah akose sehemu ya kupenyeza Silaha kwenda Hezbola.
Umeiona hiyo Game?!πππ
Leo Ndege za Marekani zimeanza kuwapiga Askari wa Assad na Wanamgambo wa Kishia wanaomsaidia.Sio kweli nyinyi mbona waongo waongo sana kilichokubaliwa na Wajeda wa Serikali
Kaka iyo Game ni mbaya kwa Israel wachovu wenu unajua luwa Iran inataka kutumia mgogoro huu w Syria ili kuleka Wajeda wake na kila kitu kinachoitajika vitani sio muda Israel itapoona Syria pachungu na ndio Sababu ya vita ya mojakwamoja kat y Iran n Israel yani itasubiliwa tu Israel ijitekenye!!!! Ngoja tuone mzozo w Syria ndio utotoa majibu. Lkn kaka Israel kashatepeta yupo hoiii