MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Acha kueneza uongo wewe dogo. Nani amekwambia hao waliokufa Jangwani Ni Walibya? Hao Ni Wahamiaji ambao wanataka kufika Mediterranean Sea ili Kufika Ulaya hasa nchini Italy. Wanatoka Mataifa ya Nigeria,Somalia,Sudan,Chad,Niger,Ivory Coast nk.Waliokufa huko jangwani mungu awake palipo pema. Pengine wao pia walikua dhidi ya kanal gadafi. Ile demokrasia waliotaka imeshawapata.
Walibya walisahau ama pengine hawakuwahi kufikiri kumbe hata Marekani hapakuwahi kuwa na Uhuru walioutaka!
Vyombo vya habari"
Uzandiki dhidi ya Libya"
Huko Kuna Uhuru TU wa wanaume kupandana lakini Hakuna Uhuru walioamini Ni Uhuru.
Walibya furahieni uhuru