Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

Majibu wa polisi wetu siku zote yapo shallow sana, mvua za siku hizi zinakata watu shingo
kwani story za watu wasiojulikana zimeishia wapi??

ukiona polisi wanatoa majibu tata namna hiyo ujue wana majibu mengine kwenye ripoti zao.na hatafai wewe kuambiwa.
 
Duuh nimeshindwa kumaliza kusoma, huu ni zaidi ya unyama[emoji24][emoji24][emoji24]
siku ukishuhudia video tembo anavyopigwa risasi nyingi na kufa bila msaada utalia ulaani binaadam kabisa.

hawa jamaa wakikukuta na nyara huwa wanaanza kulia kwanza,kukukumbusha thamani ya kile umeharibu.
baada ya hapo ndio hatua kali.
 
Mzee nilikuwa nao field moja maeneo ya msitu flank hivi niliwaomba tanapa kwa kazi maalumu ila daah walikamata watu msituni waliwasurubu wallai hadi mimi nikawaonea huruma nikajuta kuwachukua ni bora nitumie mgambo ea kijiji si gsme Aise
 
Classified information (PT-Never ever pinpoint the Spot)
 
siku ukishuhudia video tembo anavyopigwa risasi nyingi na kufa bila msaada utalia ulaani binaadam kabisa.

hawa jamaa wakikukuta na nyara huwa wanaanza kulia kwanza,kukukumbusha thamani ya kile umeharibu.
baada ya hapo ndio hatua kali.
Kweli mkuu mimi pia napinga ujangili tena wa kuuwa wanyama ambao ni protected lakini hao jamaa sio watu wazuri. Mimi sijasimulia hapa ili kuhamasisha ujangili ila lengo labda ni kutoa tahadhari kwa raia waachane kabisa na maliasili kuanzia kukata mkaa mpaka kuua wanyama pori.

Ukibambwa wewe jihesabie ni mfu au ukitoka hai hautakuwa wewe tena yule wa zamani.
 
Inq maana yale mauaji aliyokuwa akiyazungumzia Lissu kwenye kampeni bado yana endelea?
Kweli nimeamini mama na Magu ni kitu kimoja.

Sent from my Infinix X622 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa kuna siku nilikua nalewa na jamaa zangu kadhaa vitalu vya kuwinda huko mara simu upepo msako ukaanza na kadrone

Walimkamata mtu ana kindoo cha Lita 20 kimejaa risasi na mjegejo wa haja

Wakawa wananiambia ndomaana inabidi tuwe kauzu humu yani majangiri wamejizira sana usipowafanyia unyama wanakufanyia unyama(Rules of the jungle ndo zinatawala)
Acha kuwapa kichwa, watu vitani wanasurrender na kukamatwa kistaraabu sembuse anayewinda wanyama?
 
siku ukishuhudia video tembo anavyopigwa risasi nyingi na kufa bila msaada utalia ulaani binaadam kabisa.

hawa jamaa wakikukuta na nyara huwa wanaanza kulia kwanza,kukukumbusha thamani ya kile umeharibu.
baada ya hapo ndio hatua kali.
Acha kuwapa kichwa wakati na wenyewe ni wezi tu. Sasa kama Rpc anasema Watu walihamishwa kwa nguvu nini sababu ya kuwakata vichwa kama dagaa?
 
Back
Top Bottom