Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

Muuaji awezi kujitaja ndio maana kapeleka zogo kuwa mvua imewakata vichwa...
 
Bora Hayati magufuli hayupo maana hili zigo angetupiwa yeye maskini mungu amweke mahali Pema peponi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Awekwe pema peponi wakati yuko busy akipitia mafaili ya malaika na kuondoa malaika feki mbinguni? Kwa kweli tangu apate uongozi amemsaidia sana Mungu kumpunguzia mzigo
 
Bora Hayati magufuli hayupo maana hili zigo angetupiwa yeye maskini mungu amweke mahali Pema peponi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
We yule sio masikini😂😂

Hata hivyo ukatili wa hawa watu uko siku nyingi sio kuanzia 2015. Unakumbuka walichokifanya kwenye oparesheni Kimbunga & Tokomeza wakati wa Jakaya

Japokua enzi za JP waliongeza ubabe ndo wakafutilia mbali kabisa ujangili
 
Watakuwa walimaliza mchezo! Maana kuna mawili aidha muwape hela au wawafanye kitu hakuna🤓
Na hilo eneo kuna mgogoro sana watu kuvamia kulima na kuwinda bonde lote la mbalari na eneo tengefu la Ihefu
 
Maliasili wale jamaa ni wauwaji. Kuliko uingie anga zao ni kweli mkuu bora ukutane na mkubwa wa pori tu unaweza ukajitetea.

Kuna jamaa walipigwa kwa kukutwa na nyama ya pofu wakala kichapo kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 2 usiku halafu wakaachiwa wakaambiwa ondokeni.

Hawakuweza kuondoka hata kusimama hawawezi maana jamaa waliwapiga na vikwata (miba fulani ya porini) kwenye unyayo. Kuna mzee mmoja alikuwa mwiongoni mwao alipigwa mpaka nerves za harufu zikafa yani yeye huwa nahusi harufu yoyote mpaka leo.

Jamaa mwingi alikamatwa amewinda kanga wakamwambia awale na manyoya yake hivyo hivyo jamaa alikula ila alikufa.

Kuna siku niko pori moja Simanjiro jamaa wakawa wametega kanga tukawa tunapika kwenye camp tuliona gari inakuja kwa mbali kuelekea camp yetu aseee tulikimbia maporini yani speed hatari kumbe hawakuwa maliasili ilikuwa jamaa wa kambi ya jirani katoka town.

Yani mimi nikiwa mahali halafu kuna nyara hizi za hata mfupa wa mnyama pori sikai hapo maana jamaa hata wakikuta mfupa wa mwaka juzi lazima wakufanye vibaya. Yani hata wakute manyoya ya njiwa pori au hata ndege utaisoma namba.

Hao watu sio binadamu wakawaida.
Hahahaha na muda mwingi wako mionzi balaa

Washenzi wale wanambanika binadamu hivi hivi mpaka anaiva aisee

Kuna watu wanaingiaga kuchimba mizizi Fulani ni kama viazi haipatikani huku nje zaidi ya kwenye hizo mbuga za hapo Nyanda yaaani jamaa wanawafanyiaga kitu mbaya sana wale wanakijiji

Ndomaana hata wao wenyewe hawakaagi vijiji vya karibu kwakua wana uhasama mkubwa na wanakijiji

Wanakijiji wakimfumania mtaani kajichenga wanamgawana
 
kwani story za watu wasiojulikana zimeishia wapi??

ukiona polisi wanatoa majibu tata namna hiyo ujue wana majibu mengine kwenye ripoti zao.na hatafai wewe kuambiwa.
Hata kama wanadanganya uongo uelekeane na harufu ya ukweli
 
Hahahaha wale askari walinda mbuga usiombe ukutane nao porini kwenye mazingira ya kijangiri. Ni heri ukutane na simba
Nikm Polisi wakamate jamabazi, alafu wakuambie twende utuonyeshe silaha, ututajie na wenzio, tutakusamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
askari wanyama pori watalaumiwa sana.....ila ungejua unyama wanaofanyiwa na MAJANGILI..........kuna mafunzo yanaitwa --- kill to catch....lazima umuue ndio umkamate......
 
Utasikia alianza kuwashtua wenzake kwa kupiga makelele na kutaka kukimbia tukampiga risasi ya paja akafariki wakati anapelekwa hospitali
😀😀😀😀😀😀
Tulipokaribia eneo la tukio jambazi mmoja alianza kuwastua wenzake shemeji shemeji haaaaaahaaa Tz Kuna mambo
 
Back
Top Bottom