Miili ya watu wawili na kichwa kimoja vyakutwa hifadhi ya Ruaha

Muuaji awezi kujitaja ndio maana kapeleka zogo kuwa mvua imewakata vichwa...
 
Bora Hayati magufuli hayupo maana hili zigo angetupiwa yeye maskini mungu amweke mahali Pema peponi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
Awekwe pema peponi wakati yuko busy akipitia mafaili ya malaika na kuondoa malaika feki mbinguni? Kwa kweli tangu apate uongozi amemsaidia sana Mungu kumpunguzia mzigo
 
Bora Hayati magufuli hayupo maana hili zigo angetupiwa yeye maskini mungu amweke mahali Pema peponi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
We yule sio masikiniπŸ˜‚πŸ˜‚

Hata hivyo ukatili wa hawa watu uko siku nyingi sio kuanzia 2015. Unakumbuka walichokifanya kwenye oparesheni Kimbunga & Tokomeza wakati wa Jakaya

Japokua enzi za JP waliongeza ubabe ndo wakafutilia mbali kabisa ujangili
 
Acha kuwapa kichwa, watu vitani wanasurrender na kukamatwa kistaraabu sembuse anayewinda wanyama?
Mtu akisema ukweli ushuhuda wake ni kuwapa vichwa??πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Watakuwa walimaliza mchezo! Maana kuna mawili aidha muwape hela au wawafanye kitu hakunaπŸ€“
Na hilo eneo kuna mgogoro sana watu kuvamia kulima na kuwinda bonde lote la mbalari na eneo tengefu la Ihefu
 
Hahahaha na muda mwingi wako mionzi balaa

Washenzi wale wanambanika binadamu hivi hivi mpaka anaiva aisee

Kuna watu wanaingiaga kuchimba mizizi Fulani ni kama viazi haipatikani huku nje zaidi ya kwenye hizo mbuga za hapo Nyanda yaaani jamaa wanawafanyiaga kitu mbaya sana wale wanakijiji

Ndomaana hata wao wenyewe hawakaagi vijiji vya karibu kwakua wana uhasama mkubwa na wanakijiji

Wanakijiji wakimfumania mtaani kajichenga wanamgawana
 
kwani story za watu wasiojulikana zimeishia wapi??

ukiona polisi wanatoa majibu tata namna hiyo ujue wana majibu mengine kwenye ripoti zao.na hatafai wewe kuambiwa.
Hata kama wanadanganya uongo uelekeane na harufu ya ukweli
 
Hahahaha wale askari walinda mbuga usiombe ukutane nao porini kwenye mazingira ya kijangiri. Ni heri ukutane na simba
Nikm Polisi wakamate jamabazi, alafu wakuambie twende utuonyeshe silaha, ututajie na wenzio, tutakusamehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
siku ukishuhudia video tembo anavyopigwa risasi nyingi na kufa bila msaada utalia ulaani binaadam kabisa.

hawa jamaa wakikukuta na nyara huwa wanaanza kulia kwanza,kukukumbusha thamani ya kile umeharibu.
baada ya hapo ndio hatua kali.
Africa Kusini kuna watalii wanaruhusiwa kuwawinda majangili
 
askari wanyama pori watalaumiwa sana.....ila ungejua unyama wanaofanyiwa na MAJANGILI..........kuna mafunzo yanaitwa --- kill to catch....lazima umuue ndio umkamate......
 
Utasikia alianza kuwashtua wenzake kwa kupiga makelele na kutaka kukimbia tukampiga risasi ya paja akafariki wakati anapelekwa hospitali
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tulipokaribia eneo la tukio jambazi mmoja alianza kuwastua wenzake shemeji shemeji haaaaaahaaa Tz Kuna mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…