Miili ya wendawazimu ina kinga ya aina gani?

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina usafi wa aina yeyote lakini bado wanadunda tu.

Kama kuna anayefahamu naomba atujuze.
 
swali lako ni gumu lakini nafikiri ungekuwa mwehu japo kwa wiki moja jibu lako ungelipata
 
kwako unaehitaji jibu ni vyema kama ungefanya practical
 
Wanyamapori wana kinga aina gani mbona ng'ombe wakiumwa mbung'o huugua..the same question [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Wanyamapori wana kinga aina gani mbona ng'ombe wakiumwa mbung'o huugua..the same question [emoji125][emoji125][emoji125]
Natural selection mkuu kumbuka wanyama hawa wamekua wakiishi kwenye hostile enviroment kiasi cha kwamba wanyama waliosurvive ni wale waliokua na superior genes ambazo zimekua passed from one generation to another.si kwamba hawana vimelea vya magonjwa ila prolonged exposure ndio inawafanya waadapt mazingira yao bila kudhurika
 
Nani kakwambia ni bakteria hawajaamua kufurumuka Mara nyingi huwa wanakutwa wamekufa tu hapo ndo ujue hamna mtu anayeweza pambana na bakteria
 
Kuna mwehu mmoja zamani alikuwa anakatiza katikati ya mbuga ya mikumi hata siku moja sikuwahi sikia kashambuliwa na wanyama
Sio ndio huyo aliyekimbiza wanyama pori kwa kumshangaa kuwa ni myama gani huyu mwenye mkia wa mbele?,.labda ndio maana hakudhurika kwani hadi simba alimkimbia kwa kuogopa na kwa mshangao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…