Miili ya wendawazimu ina kinga ya aina gani?

Miili ya wendawazimu ina kinga ya aina gani?

Kuna mwehu mmoja zamani alikuwa anakatiza katikati ya mbuga ya mikumi hata siku moja sikuwahi sikia kashambuliwa na wanyama

wanyama nao wana akili,hawali vitu ambavyo haviko sawa,juzi kati kuna video ya mbwa anawapiga mikwara simba,wale simba wana akili wanajua kabisa yule mbwa ana kichaa,mbwa mwenye akili timamu hawezi kumshambulia simba!!hivyo wanyama hatari wa mwituni waliona kabisa si vizuri kuila nyama ya huyo mwehu anayekatiza mbugani wasije wakaambukizwa wehu
 
Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina usafi wa aina yeyote lakini bado wanadunda tu.

Kama kuna anayefahamu naomba atujuze.

nikuulize swali,unadhani wakienda kufanyiwa medical check up hawatakutwa na magonjwa???
 
Umeshawahi kumuona mtu aliyepandisha Mashetani
Wakati mwingine uwa anaagiza apewe wine au konyagi mzinga mzima anakunywa wote fyuuu
baadae shetani akitoka yule kiti ana hata dalili ya kulewa
Ina maana aliyelewa ni shetani na aneshasepa zake
alikadhalika mwehu au mwendawazimu ni( mapepo) pale sio yeye kama yeye bali mwili umevaa pepo

Sasa basi kama kuna ndugu yako amepata uchizi wa kuvuta bangi mwambie ale hovyo hovyo kama vile chizi kweli alafu uone nini kitatokea kwake.
 
Mwili unapokuwa exposed kwa muda mrefu kwenye high risk of contaminants mwili wenyewe unajitengenezea natural immunity
Kinachofanya wawe walivyo ni sababu hawana hofu,hofu huzaa maradhi mengi sana,hofu hunyong'onyeza hata kinga ya mwili,
Maradhi mengi tunayapata sababu ya hofu,tunahisi kuugua hata kabla haujaugua,tunahisi maumivu hata kabla ya maumivu,hofu ndo tatizo,siyo kuwa hawaugui hapana,ukimpa sumu atakufa km ss wazima,hiki ni kipimo na ushahidi kuwa maradhi mengi tunapata sababu ya hofu,wao hawana hofu na lolote
 
Kwani binadam anadhurika na anachokula??binadam anadhurika na self consciousness.
We usipojali kitu kamwe huwezi kudhurika.unaweza kula nyama ya mbwa au binadam ukiwa hujui hutapata tatizo lakini siku ukijua utaugua hadi uhisi mwisho wako wa dunia umefika
 
swali lako ni gumu lakini nafikiri ungekuwa mwehu japo kwa wiki moja jibu lako ungelipata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom