Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mwehu mmoja zamani alikuwa anakatiza katikati ya mbuga ya mikumi hata siku moja sikuwahi sikia kashambuliwa na wanyama
Hapa ndipo uwezo wa Mungu unapoonekana. Sijawahi kusikia daktari yeyote duniani akielezea kinga ya mwili aliyonayo mwendawazimu. Kwanini ipo tofauti sana! Wanakula vyakula vya hatari sana havina usafi wa aina yeyote lakini bado wanadunda tu.
Kama kuna anayefahamu naomba atujuze.
Kinachofanya wawe walivyo ni sababu hawana hofu,hofu huzaa maradhi mengi sana,hofu hunyong'onyeza hata kinga ya mwili,Mwili unapokuwa exposed kwa muda mrefu kwenye high risk of contaminants mwili wenyewe unajitengenezea natural immunity
Hofu pia mkuuStress na frustrations inapunguza sana kinga ya mwili kwa mtu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]swali lako ni gumu lakini nafikiri ungekuwa mwehu japo kwa wiki moja jibu lako ungelipata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]kuwa wewe ili uje utupe ushuhuda! hapa tunaelimishana tu.