incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,498
- 4,162
mkuu hapo penyewe uzi wangu ulikuwa unasema hivi "Kumbe jf kuna watu wasiojulikana." check sasa wamebadil hata tittleYoungtozy1992 Daah kweli wanakuonea sana Mkuu!! mi naona cha msingi ni kuisusa JF
Afu live mkuuYoungtozy1992 Yani hapo maana yake wanakuona wewe huna akili that's why wanajifanya kukusahihisha!! Tuandae mikakati endelevu ya kuwatia adabu mods!! mi ntajitolea kusoma IT ili tuwanyooshe hawa wabaguzi wakimtandao
Inaonyesha u r a chicken headAvatar inakosa gani hapo
mkuu maana yake nnInaonyesha u r a chicken head
Ni kweli, nami ndo nimegundua hivi sasa na ndio maana nimerekebisha post yangu hapo juu! Sikuwa nime-note hapo kabla kwa sababu nilikuwa offline!Mwanzoni waliifuta. naona saivi wameirudisha ila jukwaa tofauti. ila hii ni suala la kisiasa na tunataka wanasiasa ndo walifahamu tatizo.
Akili zinazouliza maswali ya aina hii zinapatikana kwa wingi mtaa fulani.CWR2016 !una watoto wangapi kwani?
Aisee!nafikiria tu hao watoto wako wanaokosa elimu,halafu nalinganisha na akili ya mzazi wao!!swali na jibu tofauti kabisa,kweli ualimu ni wito..Akili zinazouliza maswali ya aina hii zinapatikana kwa wingi mtaa fulani.