Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Mijadala gani hufungwa au kufutwa kabisa katika JamiiForums?

Status
Not open for further replies.
Najua uzi utafutwa ila ujumbe utafika tuu.
Mods wamekuwa hovyo sana, wanafuta nyuzi hovyo ile slogan ya "where we dare to talk openly" imezikwa rasmi. Hongera Lumumba kwa kuicontrol Jf.
 
Kwenu moderators,

Leo asubuhi mapema tu niliandika mada yenye kichwa cha habari waliokuwepo hatuwataki na tunaotaka kuwapa hatuwaamini. Ambayo ndani yake kuna maelezo yanayoeleza ujio wa Lowassa CHADEMA na vurugu za Dr. Slaa na Lipumba lakini baada ya muda hiyo mada haikuwepo nimeitafuta nimeikosa.

Nilidhani pengine imeungwa sehemu lakini hakuna kama haitoshi kuna mwengine alianzisha mada yenye kuuliza ni namna gani, Slaa atajisikia/atasema nini endapo Lowassa atarudi CCM lakini nayo kwa sasa siioni.

Sasa moderators hizo mada zina matatizo gani hadi mzitoe?

Waacheni watu wajadili wanayoendelea nchini.
 
Mtu unaleta mada hujataja jina la mtu mnaifuta au kuinganisha mpaka mnashangaza.

Mada yangu ya kwanza mmeiunganisha hii ya pili ya muda si mrefu mmeifuta.

Nyie fanyeni kazi ya k kuwabeba ila tambueni hawa mabwana hawana rafiki na wala hawana jema cha msingi kwao ni masilahi yao.

Hakuna alie salama na ni bora ukasema wakati bado ukiwa salama.
 
Mtu unaleta mada hujataja jina la mtu mnaifuta au kuinganisha mpaka mnashangaza.

Mada yangu ya kwanza mmeinganisha hii ya pili ya muda si mrefu mmeifuta.

Nyie fanyeni kazi ya k kuwabeba ila tambueni hawa mabwana hawana rafiki na wala hawana jema cha msingi kwao ni masilahi yao.

Hakuna alie salama na ni bora ukasema wakati bado ukiwa salama.
Hatimaye umepona mkuu!!
 
Wewe ni mmoja kati ya members wanaoanzisha mada za kipuuzi JF. Huenda hata hizo ni muendelezo wa mada zako za kipuuzi.
 
Nimekerwa na kitendo cha jf kuzuia kupost thread zangu bila taarifa,na baadhi ya thread zangu kuondolewa kisa kuichambua CCM.

JF kuna thread nyingi za propaganda za kiccm huzifuti,ila wapinzani wakiweka thread zao hata kama ni za kweli zinafutwa.

Nimekereka sana,naona siku hizi mmetishiwa,au mmenunuliwa mmekuwa upande wa ccm.

Muda si mrefu mtakuwa makao makuu ya propaganda wa Lumumba.
 
Habari zenu wakuu,

Naomba kufahamishwa kwa hili, nimekuwa nikipost nyuzi zangu majukwaa mbali mbali na huwa nipo active sana kureply comment za wadau ila huwa najisahu kuingia kwenye profile yangu kukagua post zangu.

Sasa leo nimejaribu kukagua nimegundua nyuzi zangu kama 10 hivi ambazo zilidumu kwa mda mrefu na zilikuwa zikijadiliwa kwa ufasaha kabisa na wadau zimenyofolewa na watu wasiojulikana bila sababu za msingi. Nataka kujua tu nyuzi zangu zimeenda wapi.

Mbona wananionea jamani, ni juzi tu nipojaribu kuingia JF nakuta wameniwekea kakibao kenye tangazo linalosomeka "Bunned"

Kakibao ambako kalidumu kwangu kwa mda wa siku tatu, nikasema sawa tu. Bado hawajaishia hapo wananyofoa nyofoa tu nyuzi zangu.

Nawaombeni Jamani kabla ya kesho nyuzi zangu.
 
hahaaahaa! Mzee baba hawajui Action zako za kupiga mawashi mpk mtu anatapika kiazi na si kama kala kiepe bali sambusa
...
Apana chezea kabisa
 
Badili kwanza hiyo avatar yako.Watu wasiojulikana wapo mfano Buji buji,mshana Jr,popoma hawa unawajua??Ukiandikiwa BANNED maana ulifanya kosa kwa hiyo ulikuwa lupango
 
hahaaahaa! Mzee baba hawajui Action zako za kupiga mawashi mpk mtu anatapika kiazi na si kama kala kiepe bali sambusa
...
Apana chezea kabisa
Mkuu mi nawazoom tu huwa wananichukulia ado ado nitamyofoa mtu koromeo hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Aisee!!!! Hebu kahesabu thread za jukwaa la siasa uone kama zipo ccm tupu. Ukitaka thread ikae, akikisha hakuna Uzi kama huo kabla, vinginevyo wanaunganisha. Pia epuka kutoa thread za kashfa, matusi na uzushi
Mbona za ccm,zenyewe zimejaa kejeli,dharau,kashfa, uzushi,lakn haziondolewi? Zimejazana jukwa la siasa ,lakn za upinzani dakika chache tu zimeondolewa
 
Nimekerwa na kitendo cha jf kuzuia kupost thread zangu bila taarifa,na baadhi ya thread zangu kuondolewa kisa kuichambua ccm
Jf ,kuna thread nyingi za propaganda za kiccm huzifuti,ila wapinzani wakiweka thread zao hata kama ni za kweli zinafutwa
Nimekereka sana,naona siku hizi mmetishiwa,au mmenunuliwa mmekuwa upande wa ccm.
Muda si mrefu mtakuwa makao makuu ya propaganda wa Lumumba
Max selo huwa anaenda peke ake.., kesi anasimamia kwa gharama zake..... mkuu kuikosoa CCM ni sawa ila jaribu kutotumia lugha kali
 
hahaaahaa! Mzee baba hawajui Action zako za kupiga mawashi mpk mtu anatapika kiazi na si kama kala kiepe bali sambusa
...
Apana chezea kabisa

Badili kwanza hiyo avatar yako.Watu wasiojulikana wapo mfano Buji buji,mshana Jr,popoma hawa unawajua??Ukiandikiwa BANNED maana ulifanya kosa kwa hiyo ulikuwa lupango
wakuu mnaona hawa jamaa walivyowachokozi kama hapo huu uzi niliuweka kwenye Jukwaa la habari na hoja Mchanganyiko ila wao wameuleta hapa...complains forum
nawambia nitanchomia mtu koromeo hapa
ohooooo haya
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom