Mijadala haipo kwa ajili wananchi - wanakula hela zetu tu

Umechombeza na kwa Ung'eng'e kwa style ya Gwajima!
Dah! Mbona umenilinganisha na mtu ambaye sikutegemea ungeweza kunilinganisha? Maana ukisikiliza mahubiri yake na yote aliyokwishasema na ukaweka pamoja hata sipendi kumsikiliza. Lakini cha ajabu watu kama hawa ndio wanaovuta hadhira maana kama nilivyosema hapo juu 'huwa tunajiondoa akili' na wakati huo ndipo huwa tunakubali kutumika!
 
Pole Mkuu - So sorry Great (name nimeiga Gwajima style)
 
Ulisikiliza alichosema kuhusu chanjo wakati akihubiri? So sad! Huwa nashawishika kwa 'logical arguments' (persuasion), lakini yeye analazimisha maoni yake yawe ukweli na anaiaminisha hadhira yake kwa kuunganisha 'unrelated facts' na kuziweka pamoja na kisha ana'draw conclusion'. Nilitarajia kama kiongozi wa dini aseme ukweli (ama unaotokana na utafiti wa kisayansi au ushahidi wa kuona) na siyo 'appeal to emotion'. Yaani ni sawa na kusema a and b, therefore, x-y.
 
Nilimsikiliza sana. Kwa sasa sijui atasemaje kuhusu approach ya mama ya kuunda Kamati ya Kuangalia Mambo ya Corona?
 
Hahahaha...'These people' know how to get off the hook. Unakumbuka kuna baadhi ya wakuu wa wilaya wakati fulani walitoa takwimu ni mifugo kiasi gani ilikufa kama ushahidi kwamba maeneo yao yalikumbwa na njaa na wanaomba msaada wa chakula, lakini lililopotoka tamko kwamba 'hakuna njaa na mkuu wa wilaya atakayesema eneo lake lina njaa atakosa kazi' - wakaja na habari kwamba 'waandishi wa habari waliwanukuu vibaya'?
 
Back
Top Bottom