Mijadala katika club house ya Mindset Transformation inaweza kuboresha maisha yako

Mathias Byabato

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2010
Posts
1,033
Reaction score
723
Habari za kazi.
Kuna tafsri nyingi juu ya motivation speakers duniani juu ya yale wasemayo na namna ya kuyatekeleza katika maisha halisi. lakini katika club house hii hakika kwa wiki mbili sasa nashiriki hakika kuna kitu cha tofauti. nimeona nami nishiriki kuwajulisha kwa wanaopenda kushiriki hiyo mijadala na mingine inayoanzishwa na club house ya jamiiforums.

Binafsi siyo mwanzilishi au mmiliki wake ila nimeona ina kitu cha tofauti kidogo katika maisha yetu.

Mijadala yake ni kila siku saa 12 hadi saa 2 asubuhi.

Link ya hiyo minset ni - MINDSET TRANSFORMATION
Link ya jamiiforums ni- JamiiForums

Mathias Byabato
0754527358
Bukoba
 
Duh at least wangeanza saa mbilu, anyway nitajitahidi kufuatilia
 
Sababu kuu ni mbili. moja ili watanzania wawahi kazini na watanzania wanaoishi nje ya nchi ambao muda huo wengi inakuwa ni usku wa kawaida
 
Back
Top Bottom