Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Acha kumpotosha wengi wenu mnamaisha magum sana ,nimehudhuria sana seminar zenu and I was doing a research ,hii mambo ya kulipa laki tano ili uchukue biashara zenu then uanze kutrade ni taabu kidogo ,ni ngum pia kumshawishi MTU atoe laki tano ili uendelee kufaidika kutoka kwake, hii chain yenu si nzuri na ni ulaghai tuu ,hivi unadhani one million per month ni mchezo? Yani usemavyo one million kwa mwezi ni kama elfu moja bro. Hamna jipya hapo kijana atapoteza tuu pesa yake bora ajiajili tuu ila sio kuwekeza global
 
Mkuu hebu toa ufafanuzi kidogo hapa ,maana nilikuwa nahitaji pia kujua ABC za huko ,kuna siku sijajua kama ni wewe ulisema una mdogo wako huko unafanya biashara plz hebu fafanua kidogo aina ya biashara pamoja na changamoto zake huko zambia
YEAH NDIMIKule unafanya umachinga tu sema uzuri wa kule ukienda na na mtaji wa mil 1 au laki 6 unajidabo within week 2 hadi 3 so ni kuzuri kwa watu wenye mitaji midogo na pia kwa watu wenye degree ila hawana mbele wala nyuma i mean hawana ajira ni kuzuri kwa sababu kule anakuwa mgeni so hawezi kuona aibu kumwaga let say yebo yebo kwenye meza nakuuza kama mjasiria mali mdogo na pia kule hakuna kubanana sana kwenye kodi kama ilivyo hapa Tz.
NB:USIWE MTU WA MATANUZI HIYO FAIDA HAUTOIONA AU UTAIONA KIDOGO.
 
Mkuu Mimi Niko huko Niko huko
Nafurahia sana kuwa huko maana nimeishaanza kupata faida. Nilifanya kazi ya kuleta watu wawili tu lakini sasa nina timu kubwa iliyotokana na hao watu.
Biashara yangu inazidi kukua kuja kufika mwezi wa nane nategemea nitakuwa na timu ya watu 2000 wote hao watakuwa wananifanyia kazi.
 
Biashara hizi za networking marketing ama upatu hazijawahi kumwacha mtu salama
mwisho huwa ni mbayaa
sasa akilipia na akakosa watu wakuwaingiza ili apate faida
Za kuambiwa changanya na za kwako
Huwezi ukakosa watu hata kama huna uwezo wa kushawishi watu kampuni ina.mfumo wa wajuu kumwekea mtu, wa chini yako kwa hiyo hata kama huna uwezo wa kushawishi watu sio rahisi kukosa watu
Hudhuria semina ujionee watu wanaoingiza 7mil / siku
 
Imekaa poa
 

Me pia ntakucheki
 
Endelea kuchimba dhahabu, kama umepata hiyo pesa kwa kuchimba dhahabu huwezi kuipata kwa kuuza juice, chimba dhahabu.
Kaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu

Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa nahitaji kubadirisha upepo na mimi ng'ae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…