Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

Hbr zenu wana jf
Nina mtaji wa sh 300,000
Nataka kuanzisha bihashara
Naomba ushaur wenu nifanye bihashara gani
Mawazo yenu ni muhimu kwangu
 
Nimebahatika kupata dhahabu nimeuza nikapata 25 million za kitanzania sijawahi kumiliki pesa nyingi kama hiyo hivo kwa kuhofia kulewa pesa nimeituliza bank sijajuwa nini nifanye ili niuage uchimba chumvi naombeni mawazo wakuu

Nawasilisha
MKUU SIO MBAYA UKITUPA MREJESHO ITASAIDIA MNO
 
Wakuu, mwnye sample ya mchanganuo wa biashara (rejareja) naomba unitumie tafadhal
 
Kaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu

Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa nahitaji kubadirisha upepo na mimi ng'ae
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtu
 
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango [emoji95]BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo [emoji91]940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja [emoji95]MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble [emoji91][emoji91][emoji91]MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtu
 
Natafuta unit yoyote ambayo inatoa mikopo kwa mjasiriamali na mwajiriwa msaada tafadhali
kuna bank na taasisi mbalimbali za mikopo kama vile nufaika, tujijenge, tunakopesha ltd, platnum credit n.k
 
saga juice safi ya matunda...mtafte mdada wa kusambaza juice madukani,ofisini,gereji n,k,,,,,

pia waweza katakata matunda mchanganyiko ukaweka kwenye vibakuli flani vya plastick unasambaza mzigo,,,,,
Biashara ni uvumulivu,ubunifu pia jitahidi sanasana kuzingatia usafi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom