MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Nimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.Yaani niliposoma kichwa cha habari nikawaza karatu na ndio ya kwanza aloooo kule kuna powder ya vumbi yaani vumbi jepesiiii sio mchezo
NAKAZIAOrodha hii bila Makambako ni batili
11. NachingweaHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Iweke namba 11Orodha hii bila Makambako ni batili
Kwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poaArusha kwa ujumla
Vumbi la DRCVumbi kama vumbi au vumbi pendwa?