Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Makambako
Manyoni
Bunda
 
Namba nne,hahahah
 
Arusha karibu yote ni vumbi tupu
 
Mbeya
Dodoma
Manyoni
Himo
Bomang'ombe
Kasulu
Kibondo
Kibaigwa
 
Sasa Mbeya kuanzia Mama john mpaka kabwe mpaka mafiati haipo basi we utakuwa unaongelea vumbi la kongo sio hili tunalolijua sisi....
 
Back
Top Bottom