Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Yaani zamani kabla ya mkeka huu wa kuunganisha mikoa wa rami .ulikuwa ukitoka baadhi ya mikoa kwenda mkoa mwingine bila vumbi wanakushangaa wanasema huyu kweli kutoka safari au anatuzuga alikuwa hapa hapa..
 
Kibondo....
1694977270101.jpeg
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Umeacha wapi Singida
 
Barabara toka kanazi kwenda Ibwera, katoro, ichwandimi kwa akina Karamagi, Izimbya mpaka Kyaka ni wazalishaji wakubwa wa kahawa na ndizi ila usafiri shida ndo maana wajanja wanachukua shortcut kupeleka Uganda halafu oh, tunaibiwa na majirani zetu. TUMEPENDA WENYEWE.
 
Kigoma inaongoza ktk hili suala la vumbi,, Dom hamna vumbi la kukera tatizo hali ya hewa, ukame na maji ya chumvi/magadi 🙌,
 
Bomang'ombe
Orkesumet
mto wa mbu
dodoma
kuna vumbi kama majivu (volcanic soil) hamna vumbi jekundu
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Meatu,Kishapu pia
 
Back
Top Bottom