Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Dodoma umeionea. Sio kivile.
Haiwezi kuingia top ten ya nchi. Unapajua Kiteto lakini?
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Songwe mbeya na viunga vyake ziko wapi...? Hii list fake
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Na wasiwasi na mwandishi kuwa anatokewa kigoma,
haiwezekani kabisaa asiiweke wakati inaweza kushika namba moja au mbili kutokana na vumbii lakee,😂😂😂
 
😂😂😂

Inatia aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...

Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
UnIlaumu Serakali ya Miaka 3 na hizo zolopita walikuwa Wanahudumia wanyonge
 
Na wasiwasi na mwandishi kuwa anatokewa kigoma,
haiwezekani kabisaa asiiweke wakati inaweza kushika namba moja au mbili kutokana na vumbii lakee,😂😂😂
Watu mnachanganya sana Kigoma mjini na Kigoma mkoa. Pale Kigoma mjini hakuna vumbi tena ardhi yake ina mchanga wa kutosha kwa sababu ni pembeni ya ziwa. Ukitoka mjini na kuanza kuingia wilayani ndo unakutanza na mabalaa. Huko Buhigwe kuna vumbi fulani hivi jepesi kama poda. Ila Buhigwe sijaiweka kwenye list kwasababu vumbi lake sio jekundu na kuna miti ya kutosha tofauti na Kasulu.
 
😂😂😂

Inatia aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...

Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
Nadhani mwandishi anachanganya vumbi au udongo mwekundu.uekundu wa udongo hauna uhusiano na serikali.anataka kutuambia serikali itoe udongo mwekundu au?au mimi sijawelewa?
 
Tembelea mbalizi ukimaliza tu ziara nadhani kwenye list yako utaiweka namba moja mbalizi
 
Mtera ni imesahaulika kwenye list, au Moderator kaitoa?

boresha orodha na usisahau ifuatayo: Urambo, Inyonga, Kishapu, Migoli, Mgeta na Nanenane (morogoro)
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Umesahau mji mwingine unaitwa BUKUNDI uliopo Wilaya ya Meatu mkoa Simiyu
 
Mtu wa Karatu akifa hakuna haja ya kusema "ulitoka mavumbini utarudi mavumbini" kwa sababu muda wote yuko mavumbini hajawahi kutoka mavumbini.
 
Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.

1. KARATU
2. KASULU
3. KIBONDO
4. BOMANG'OMBE, Hai
5. SONGEA
6. TUNDUMA
7. ORKESMET, Simanjiro.
8. DODOMA
9. MERERANI
10. MTO WA MBU
Morogoro, udongo mwekundu na upepo huanza mchana.
 
Back
Top Bottom