version001
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 841
- 2,004
Hiyo orodha ni batili kabisa kama Mbeya haipo, nimekuwepo hapo siku tatu zilizopita vumbi na upepo uliopo sijaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila MANYONI futa tu huu UziHii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu.
1. KARATU
2. KASULU
3. BOMANG'OMBE, Hai
4. SONGEA
5 TUNDUMA
6. ORKESMET, Simanjiro.
7. DODOMA
8. MERERANI
9. KIBONDO
10. MTO WA MBU
Hivi ile barabara kuelekea hotel inayomilikiwa na VETA ilishawekwa rami. Maana ilikua inatoa vumbi sio mchezoKwa morombo, Moshono, Lengijave, Kisongo, Ngaramtoni na Chekereni. Hizo sehemu sio poa
Karatu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama VumbiYaani niliposoma kichwa cha habari nikawaza karatu na ndio ya kwanza aloooo kule kuna powder ya vumbi yaani vumbi jepesiiii sio mchezo
Aloo sio mchezo karatu baba lao. Nilienda msibani kurudi wife anauliza kwani walikugeuza maksai nn maana nguo zinachafuka vumbi la maana. Lile vumbi la karatu unaweza ombea hata mkopo bank.Karatu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama Vumbi
uliwahi kufika kakonko & kibondo kigomaNimetembea karibu nchi zote za SADC na EAC bado mpinzani wa Karatu hajapatikana.
Nasikia Dodoma kila sehemu wametandaza lami kwa hio hakuna vumbi kabisa😂😂😂
Inatoa aibu sana serikali yetu inayodai kazi iendelee haifanyi lolote kuondoa haya...
Watakusikia wenzako, urudi ndani ya Mwezi Moja utuambie vumbi sio tatizo tena hayo maeneo umetaja na mengineyo
hiyo sehemu ni hatari sana, hiyo barabara ya kutoka nyakanazi to kasuluKibondo na Kasulu, ukitembea sana unaanza kucheua vumbi.....
Sasa wanaishije huko hawaumwi homa za mapafu?Yaani niliposoma kichwa cha habari nikawaza karatu na ndio ya kwanza aloooo kule kuna powder ya vumbi yaani vumbi jepesiiii sio mchezo
Hatari sana, kidogo sahivi wameweka kilami cha kishakajiKaratu msimu wa Mvua Kuna kuwa na tope la Hatari sana, Unashindwa kunyanyua mguu kutoka chini, Haswa hayo maeneo ya CCM , uwanja Mboe Hadi kupandisha Maeneo ya Jublate Mnyenye, NMB, Kwa Lekashu, Kadtuli Hadi Peter Ombay , Crater Rim, upande police na TRA shuka mitaa ya NBC kote ni tope ama Vumbi
Sjui tukawaulize?Sasa wanaishije huko hawaumwi homa za mapafu?
Umenikumbusha neno Ngunja11. Nachingwea
Na sura zao je hazijakaa kivumbivumbi?Sjui tukawaulize?
sehemu kubwa ya nchi ni vumbi, wana mpo US nini!Sjui tukawaulize?
Ndio wapi hukoUmenikumbusha neno Ngunja
Sijaona vumbi kule labda baridi tu.Orodha hii bila Makambako ni batili
Niliposoma title mji wa kwanza kuja kichwani ni makambakoOrodha hii bila Makambako ni batili
Huku kwetu hakuna vumbisehemu kubwa ya nchi ni vumbi, wana mpo US nini!