Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Labda haujui nchi yako.This is what you do...Evil doorers....

How evil can you get you people.Halafu a Tanzanian ataniambia Nairobi chafu??Please get some serious prayers.
 
Na nani hukatakata binadamu mwenzio kama Albino na kula nyama yake??
Unaongelea matukio ya individuals? Hao ni wahalifu tu kama mlivyo wahalifu world wide. Kwani huko Garisa mliuana kwa mioyo yetu au yenu?

Mimi hapa nazungumzia tabia yenu ya jumla, mko na roho ya pamoja...hawa Luo, hawa Kikuyu God forbid!
 
Mna midomo mirefu sana nyie watu, ndio maana hamuishi kuchapwa makofi na wake zenu. Vipi, nani amekuwa mwenyekiti wa kile chama chenu cha kutetea haki za wanaume? Tehe tehe tehe!
 
Mna midomo mirefu sana nyie watu, ndio maana hamuishi kuchapwa makofi na wake zenu. Vipi, nani amekuwa mwenyekiti wa kile chama chenu cha kutetea haki za wanaume? Tehe tehe tehe!
HIZO NDO AKILI ZA WANAUME WANAOPIGWA PIGWA WAKENYA BILA KUPIGWA NA WAKE ZAO AU WASOMALI HAWAACHI KELELE
 
Mna midomo mirefu sana nyie watu, ndio maana hamuishi kuchapwa makofi na wake zenu. Vipi, nani amekuwa mwenyekiti wa kile chama chenu cha kutetea haki za wanaume? Tehe tehe tehe!

You lost it long time ago fellows.You only need Prayers
 
Pilipili ya shambani inakuwashia nini, mbona wasomali mjafukuza Kenya, wamejaa wengi sio wakenya. Clean your own back yard.
 
Depay please stop posting dead human beings pictures .....

figganigga alipost zingine last month nikashindwa kula nyama for a whole month....tuwe na heshma kwa hao walio uliwa pia!!!
Very few Kenyans understand human dignity mmoja ni huyo ndugu yako, sio kama na sisi tunashindwa kuweka vifo vya wakenya. But we know what is right and what is wrong.
 
Nakusogezea mkeka kutoka Nairobi ujionee tofauti kubwa iliopo kati ya middle income( class) na the poorest. .......
 
Hiyo list ina mashaka kidogo, haiwezekani Delhi ikawa chini ya Bongo, Delhi ni chafu zaidi
 
Hiyo list ina mashaka kidogo, haiwezekani Delhi ikawa chini ya Bongo, Delhi ni chafu zaidi
Kumbe kibera wanaishi watu million 1....nikijaribu kufikiria kwa jicho is tatu ni watu wengi sana!!
Serikali ya Kenya sijui imejipangaje.....hiyo ndio largest slum in Africa. .....
alafu apoapo kuna list yenye upupu kwamba nairobi ni kusafi. ....labda kama kibera Ipo nakuru apo sawa!!
 
Nakusogezea mkeka kutoka Nairobi ujionee tofauti kubwa iliopo kati ya middle income( class) na the poorest. .......
Wenzetu haya na mengine mengi wana ya sukumizia chini ya jamvi.
 
Wenzetu haya na mengine mengi wana ya sukumizia chini ya jamvi.
Hatuyasukumi popote, maana ikiwa umetizima utaona ni juhudi zetu za kumaliza hali ya Slums Nairobi, Miaka Tano ijayo hutaikia tena Kibera Slum!!
 
Hatuyasukumi popote, maana ikiwa umetizima utaona ni juhudi zetu za kumaliza hali ya Slums Nairobi, Miaka Tano ijayo hutaikia tena Kibera Slum!!
Unaongea kama ndio mara ya kwanza unajiunga na JF, hauoni wakenya wenzako wanavyo kimbia kimbia humu? hawalali usiku wala machama, wapo na spade zao mkononi wakisikia siren tuu wanajuwa ni bad news. Wanakurupuka haraka haraka waanza kazi, kido wamemaliza, wanarukia nyingine kazi tena, duuh. Clam down Kenya's, it's just another day in paradise. Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…