Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Miji michafu zaidi duniani: Watani zetu waiwakilisha vyema Afrika

Hatuyasukumi popote, maana ikiwa umetizima utaona ni juhudi zetu za kumaliza hali ya Slums Nairobi, Miaka Tano ijayo hutaikia tena Kibera Slum!!
Sio rahisi kama unavyodhani wewe
subiri uone iyo miaka 5 ,usifanye mchezo kabisa pop ya watu million 1 ni wilaya ya temeke nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sio rahisi kama unavyodhani wewe
subiri uone iyo miaka 5 ,usifanye mchezo kabisa pop ya watu million 1 ni wilaya ya temeke nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naelewa lakini inalingana na bidii za viongozi, Iwapo SGR imejengwa kwa mwaka toka Mombasa hadi Nairobi, Iwapo barabara ya kilometer karibu 900 imejengwa kwa miaka? Nyumba hizo na barabara za kibera kwa mwaka zaweza kamilika. Hivi contracts zimepewa kampuni tatu na bado kuna nafasi ya kampuni zingine. Unajua kuna barabara Machakos ilijengwa kwa week 3?
 
Back
Top Bottom