Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Wakuu,

Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.

Mimi naanza kama ifuatavyo:

1. MLOWO

Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji Mdogo unaopatikana Mkoa mpya wa Songwe, Wilaya ya Mbozi. Mji huu upo barabara kuu ya kutoka Mbeya Jiji kuelekea Tunduma. Ni Mji unaokua kwa kasi na unafursa ya kibiashara hasa mazao. Mji huu unazungukwa na vijiji vingii ambavyo wakazi wake wanajishughulisha na kilimo cha Mahindi, karanga, Maharagwe Alizeti, parachichi, kahawa n.k

Mji huu wa Mlowo una pacha/njia ya kuelekea miji mingine kama Kamsamba, Momba na Chunya. Pacha hii ndio pacha inayofika hadi kwenye Shamba kubwa la serikali la mahindi ambalo kwa sasa liko chini ya Wakala wa Mbegu wa Taifa(ASA).

2. MPEMBA

Huu pia ni Mji unaokua kwa kasi, upo mkoani Songwe Wilaya ya Tunduma, kilometers 10 kutoka Tunduma mji. Mji huu una fursa za kibiashara na Kilimo.

3. VWAWA
Hapa ndipo Makao makuu ya Mkoa wa Songwe ambapo kwa sasa Mkuu wa Mkoa huu ni Daniel Chongolo. Ni Mji unaokua kwa kasi kutokana na kusimikwa kwa huduma nyingi za kijamii zenye hadhi ya mkoa. Miaka michache Mji huu utaungana na Mji wa Mlowo kutokana na ukaribu bila kusahau mijengo mikali inayoendelea kuporomoshwa ndani ya Mji huu.
Karibu Vwawa.

4. NYANGAO
Ni Mji unaopatikana Kusini Mashariki mwa Tanzania ndani ya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Lindi DC. Mji huu mkongwe ambao wajerumani waliweka ngome yao hapa na kufanikiwa kujenga kanisa kubwa na Mission yao. Mbali na hilo wajerumani walijenga hospital kubwa sana ndani ya Mji huu(St Walburgus referral Hospital Nyangao).

Wakazi wengi wa Mji huu ni wakulima wa mazao kama Mahindi, mpunga, Alizeti, karanga na mazao ya biashara Kam Ufuta na Korosho, bila kusahau biashara za samaki/dagaa.. ambapo Mji huu umekuwa kama center ya biashara hii ambapo samaki/dagaa wengi wanaotoka bahari ya Kilwa na kuja Nyangao. Watu mbalimbali kutoka katika vijiji vilivyo karibu na Mji wa Nyangao wanakuja kujumua samaki/dagaa hapa.

Kitu lingine Cha kufahamu ni kuwa Mji huu upo mpakani kati ya Mkoa wa Lindi na Mtwara kutokea Masasi Town, Pia ni sehemu ambapo Mbunge wa Mtama na Waziri mwenye dhamana ya habari, masiliano na Teknolojia(Nape Nnaye) huwa anapategemea sana kuchukuwa/kupigiwa kura za kutosha katika chaguzi zinazofanyika, hii ni kutokana na idadi ya watu waliopo Mji huu ambao ni wanachama wa Chama Mapinduzi.

Nyangao kuna shule za level ya juu (High) kama MAHIWA HIGH SCHOOL na NYANGAO HIGH SCHOOL ambayo inasemekana inamilikiwa na Waziri mkuu(Mh : Kassim M Kassim). Ukitaka kufahamu shule hii kwa undani basi fuatilia Zamaradi TV. Pia kuna chuo cha kati cha Afya kilichopo karibu na Hospital ya Nyangao na vyuo vingine vya ufundi.

KIDATU/RUAHA
Mji huu upo ndani Wilaya ya Kilosa japo watu wengi wanachanganya kwa kufahamu kuwa upo wilayani kilombero. Mji huu unakuwa kwa Kasi sana, hii inachagizwa na uwepo wa kiwanda kikubwa Cha sukari almaarufu kama Kilombero Sugar Company. Wakazi wengi wa mji huu ni wakulima hasa Kilimo cha miwa ambapo soko lake kuu la miwa linapatikana katika kiwanda hicho cha sukari. Mji huu una fursa za kibiashara hasa kutokana na wageni wanaokuja kununua sukari kiwandani hapo bila kusahau Crew kubwa ya wataalam kutoka kiwandani hapo.

Kuna chuo kimoja kikongwe sana kinachofahamika kama NATIONAL SUGAR INSTITUTE. Chuo hiki kinatoa kozi mbalimbali za Stashahada ya uhandizi Umeme, Kilimo na Sukari n.k

Pia Mji unahuduma za kibenki na sehemu nyingi za starehe bila kusahau Mji huu umepitiwa na barabara kuu ya kuelekea Mji wa Ifakara.

Karibu Kidatu/Ruaha.

ITAENDELEA...
 
Wakuu....!!!

Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.

Mimi naanza kama ifuatavyo:-

2. MPEMBA.
Huu pia ni Mji unaokua kwa kasi, upo mkoani Songwe Wilaya ya Tunduma, kilometers 10 kutoka Tunduma mji. Mji huu una fursa za kibiashara na Kilimo.

3.VWAWA
Hapa ndipo Makao makuu ya Mkoa wa Songwe ambapo kwa sasa Mkuu wa Mkoa huu ni Mh: Daniel Chongolo. Ni Mji unaokua kwa kasi kutokana na kusimikwa kwa huduma nyingi za kijamii zenye hadhi ya mkoa. Miaka michache Mji huu utaungana na Mji wa Mlowo kutokana na ukaribu bila kusahau mijengo mikali inayoendelea kuporomoshwa ndani ya Mji huu.
Karibu Vwawa.

4. NYANGAO
Ni Mji unaopatikana Kusini Mashariki mwa Tanzania ndani ya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Lindi DC.
Mji huu mkongwe ambao wajerumani waliweka ngome yao hapa na kufanikiwa kujenga kanisa kubwa na Mission yao. Mbali na hilo wajerumani walijenga hospital kubwa sana ndani ya Mji huu(St Walburgus referral Hospital Nyangao).

Nyangao kuna shule za level ya juu(High) kama MAHIWA HIGH SCHOOL na NYANGAO HIGH SCHOOL ambayo inasemekana inamilikiwa na Waziri mkuu(Mh : Kassim M Kassim). Ukitaka kufahamu shule hii kwa undani basi fuatilia Zamaradi TV. Pia kuna chuo cha kati cha Afya kilichopo karibu na Hospital ya Nyangao na vyuo vingine vya ufundi.

KIDATU.
Mji huu upo ndani Wilaya ya Kilosa japo watu wengi wanachanganya
kwa kufahamu kuwa upo wilayani kilombero.
Mji huu unakuwa kwa Kasi sana, hii inachagizwa na uwepo wa kiwanda kikubwa Cha sukari almaarufu kama Kilombero Sugar Company. Wakazi wengi wa mji huu ni wakulima hasa Kilimo cha miwa ambapo soko lake kuu la miwa linapatikana katika kiwanda hicho cha sukari. Mji huu una fursa za kibiashara hasa kutokana na wageni wanaokuja kununua sukari kiwandani hapo bila kusahau Crew kubwa ya wataalam kutoka kiwandani hapo.

Karibu KIDATU.

ITAENDELEA...
Umeandika vizuri lakini hauna utafiti wa kutosha. Nilitegemea ungetoa mifano kutoka nchi nzima, lakini umekuwa biased na Songwe tu. Inaelekea hata Nyangao na Kidatu umeisema kama vile ulipita ukienda msibani! Ahahahahaha!!
 
Huna akili....

Tafuta hela au tutolee Miji yako ya Mbeya huko... Unatuandikia vijiji halafu unaita miji... Na Kahama tuiteje...

Damn!!!
 
Wakuu,

Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.

Mimi naanza kama ifuatavyo:

1. MLOWO
Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji Mdogo unaopatikana Mkoa mpya wa Songwe, Wilaya ya Mbozi. Mji huu upo barabara kuu ya kutoka Mbeya Jiji kuelekea Tunduma. Ni Mji unaokua kwa kasi na unafursa ya kibiashara hasa mazao. Mji huu unazungukwa na vijiji vingii ambavyo wakazi wake wanajishughulisha na kilimo cha Mahindi, karanga, Maharagwe Alizeti, parachichi, kahawa n.k

Mji huu wa Mlowo una pacha/njia ya kuelekea miji mingine kama Kamsamba, Momba na Chunya. Pacha hii ndio pacha inayofika hadi kwenye Shamba kubwa la serikali la mahindi ambalo kwa sasa liko chini ya Wakala wa Mbegu wa Taifa(ASA).

2. MPEMBA
Huu pia ni Mji unaokua kwa kasi, upo mkoani Songwe Wilaya ya Tunduma, kilometers 10 kutoka Tunduma mji. Mji huu una fursa za kibiashara na Kilimo.

3. VWAWA
Hapa ndipo Makao makuu ya Mkoa wa Songwe ambapo kwa sasa Mkuu wa Mkoa huu ni Daniel Chongolo. Ni Mji unaokua kwa kasi kutokana na kusimikwa kwa huduma nyingi za kijamii zenye hadhi ya mkoa. Miaka michache Mji huu utaungana na Mji wa Mlowo kutokana na ukaribu bila kusahau mijengo mikali inayoendelea kuporomoshwa ndani ya Mji huu.
Karibu Vwawa.

4. NYANGAO
Ni Mji unaopatikana Kusini Mashariki mwa Tanzania ndani ya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Lindi DC. Mji huu mkongwe ambao wajerumani waliweka ngome yao hapa na kufanikiwa kujenga kanisa kubwa na Mission yao. Mbali na hilo wajerumani walijenga hospital kubwa sana ndani ya Mji huu(St Walburgus referral Hospital Nyangao).

Wakazi wengi wa Mji huu ni wakulima wa mazao kama Mahindi, mpunga, Alizeti, karanga na mazao ya biashara Kam Ufuta na Korosho, bila kusahau biashara za samaki/dagaa.. ambapo Mji huu umekuwa kama center ya biashara hii ambapo samaki/dagaa wengi wanaotoka bahari ya Kilwa na kuja Nyangao. Watu mbalimbali kutoka katika vijiji vilivyo karibu na Mji wa Nyangao wanakuja kujumua samaki/dagaa hapa.

Kitu lingine Cha kufahamu ni kuwa Mji huu upo mpakani kati ya Mkoa wa Lindi na Mtwara kutokea Masasi Town, Pia ni sehemu ambapo Mbunge wa Mtama na Waziri mwenye dhamana ya habari, masiliano na Teknolojia(Nape Nnaye) huwa anapategemea sana kuchukuwa/kupigiwa kura za kutosha katika chaguzi zinazofanyika, hii ni kutokana na idadi ya watu waliopo Mji huu ambao ni wanachama wa Chama Mapinduzi.

Nyangao kuna shule za level ya juu (High) kama MAHIWA HIGH SCHOOL na NYANGAO HIGH SCHOOL ambayo inasemekana inamilikiwa na Waziri mkuu(Mh : Kassim M Kassim). Ukitaka kufahamu shule hii kwa undani basi fuatilia Zamaradi TV. Pia kuna chuo cha kati cha Afya kilichopo karibu na Hospital ya Nyangao na vyuo vingine vya ufundi.

KIDATU
Mji huu upo ndani Wilaya ya Kilosa japo watu wengi wanachanganya kwa kufahamu kuwa upo wilayani kilombero. Mji huu unakuwa kwa Kasi sana, hii inachagizwa na uwepo wa kiwanda kikubwa Cha sukari almaarufu kama Kilombero Sugar Company. Wakazi wengi wa mji huu ni wakulima hasa Kilimo cha miwa ambapo soko lake kuu la miwa linapatikana katika kiwanda hicho cha sukari. Mji huu una fursa za kibiashara hasa kutokana na wageni wanaokuja kununua sukari kiwandani hapo bila kusahau Crew kubwa ya wataalam kutoka kiwandani hapo.

Kuna chuo kimoja kikongwe sana kinachofahamika kama NATIONAL SUGAR INSTITUTE. Chuo hiki kinatoa kozi mbalimbali za Stashahada ya uhandizi Umeme, Kilimo na Sukari n.k

Pia Mji unahuduma za kibenki na sehemu nyingi za starehe bila kusahau Mji huu umepitiwa na barabara kuu ya kuelekea Mji wa Ifakara.

Karibu Kidatu.

ITAENDELEA...
Kwenu ni Songwe sehemu gani maana naona umechagua miji ya kwenu...Nyangao kinachoibeba ni iyo Hospitali tu.
Kuna vimiji Kama
Mtimbira- Moro
Igwachanya- Njombe
Gairo
Tinde Shinyanga
Vimiji vidogo dogo lkn Vibe lake la kutosha
 
Sasa Vwawa ina vibe gani na wewe?
 
Back
Top Bottom