Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, mkuu hebu nikurekebishe kidogo Mimi sio mwenyeji wala sio mzaliwa wa Mkoa wa Songwe, niliwahi kuishi Mkoa wa Songwe kikazi nikiwa katika branch la taasisi fulani. Hivyo ilinichagiza kuufuatilia Mkoa wa Songwe vizuri ili niweze kujua fursa zakee na maeneo yake pia.Kwenu ni Songwe sehemu gani maana naona umechagua miji ya kwenu...Nyangao kinachoibeba ni iyo Hospitali tu.
Kuna vimiji Kama
Mtimbira- Moro
Igwachanya- Njombe
Gairo
Tinde Shinyanga
Vimiji vidogo dogo lkn Vibe lake la kutosha
Kahama unaikosea heshima1. Kakola
2. Nyamongo
3. Kahama town
4. Kerende
5. Nyabichune
6. Mugumu
7. Runzewe
8. Kagongwa
9. Nyakanazi
Chalinze ilishakuwa na sasa inazidi kujitanua, ni Mji uliobeba mamlaka ya Wilaya kwa sasa,, fursa za biashara zipo kama biashara za mananasi, machungwa n.k😃Vipi kuhusu Chalinze
Naunga mkono hapoKatoro-Geita
Kwa kanda ya ziwa baada Mwanza na Kahama, Katoro inafuata
Kama Kahama ilivyoipiku Shinyanga (mkoa) ndivyo Katoro inavyoipiku Geita. Katoro kuna soko linaitwa kariakoo.
Ikwiriri na nanganga uko sahihiHii miji midogomidogo mingine hebu niitaje tu ili wadau wengine waweze kuifahamu na kama wanahitaji kutafuta/kufuata fursa huko basi wafuate.
• Kibaigwa
• Nanyamba
• Mahuta
• Chimala
• Ikwiriri
• Mangaka
• Nagaga
• Nangurukuru
• Ilula
• Kalenga
• Mlimba
Hii miji midogo kama una interest ya kulima na biashara ya Mazao kama Mimi unatoboa chap na haraka,,Uko Kuna fursa Gani za kupiga hela achana na kuchangamka
1. NdandaHii miji midogomidogo mingine hebu niitaje tu ili wadau wengine waweze kuifahamu na kama wanahitaji kutafuta/kufuata fursa huko basi wafuate.
• Kibaigwa
• Nanyamba
• Mahuta
• Chimala
• Ikwiriri
• Mangaka
• Nagaga
• Nangurukuru
• Ilula
• Kalenga
• Mlimba
Ahaa saivi hali ya soko ipoje huko? Au ndo paka ulete dasalama?Hii miji midogo kama una interest ya kulima na biashara ya Mazao kama Mimi unatoboa chap na haraka,,
Sema Mimi sijatulia tu.. hebu nitulie kwanza niende zangu Mangaka nikalime karame Karanga na ufuta
Ikwiriri na nanganga uko sahihi
Na hapo kuna machimbo ya dhahabu yanatema vizuri tuLabda kama unamaanisha Mangaka, BUT Nanganga ni kijijini tu sema ni Kijiji kilichopo njia kuu ya kwenda Masasi na Lindi/Mtwara bila kusahau hapa ndipo pacha/barabara ya kuelekea Ruangwa kwa Wamwera au kwa Mh: Kassim Majaliwa(PM), barabara hii ya kutoka Nanganga to Ruangwa ipo katika matengenezo ya hali ya juu kuelekea kiwango cha lami(Trunk Road)