Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni miji michache sana hapa duniani yenye muonekano wa hivyo.Kwa hiyo ishara ya hizo baraka ni hiyo milima.
Type Amen! Upate baraka zako. Acha keleleNyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora
HahahahaType Amen! Upate baraka zako. Acha kelele
Misifa gani kiongozi?/hutaki baraka wewe?EEEEEH NILIDHANI HII MISIFA IPO KWA WAHAYA TU KUMBE HATA NYIE
ulivyopamba tu utadhani Tanzania nzima unaijua sasa ndugu kila mtu akija hapa atasema home is the best hapa hamna barakaMisifa gani kiongozi?/hutaki baraka wewe?
Kwa hiyo ishara ya hizo baraka ni hiyo milima.