Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

1.jpg
Mji gani huu mkuu?

Umebarikiwa
 
Namshukuru mungu nimetembea mikoa mingi sana hapa nchini...plus inch za jilani.
Ila jamani kwa mimi naona kama baraka basi mungu akzitoa mikoa hii ifuatayo...

1-Njombe sijui kitu gani hakioti huu mkoa labda minazi... na vijana wengi waliotoka chuo na kwenda mkoa huu wanapata utajiri kwa mda mfupi sana..Njombe unaweza ishi hata week bila kutumia hata sh kumi na ukala bila tatizo.kumbuka huu ni mkoa mpya ila ni among top richest region in Tanzania moshi haifikii.
2-Iringa ambayo ilazaa njombe...ukifika huu mkoa watu wake tu utajua huu mkoa si wakawaida, hali ya hewa, uoto wa asili ,vyakula ndio usiseme. utajiri ndio usiseme nadani ukiacha Dar huu ndio mkoa tajiri wa pili...
3-Mbeya
4-ruvuma
5-Geita.
6-Lindi
7-Kigoma baraka kubwa naziona kwa vipaja vya watu wao plus utulivu.
8-Morogoro
9-Tanga ni mkoa peekee Tanzania wenye uoto wote.. mfano..ukiwa Tanga Mjinji yaani wilaya ya Tanga... pure ni pwani.. yaani utapata Naz., samaki na mazao mengine ya pwani, nenda Wilaya ya Lustoto huku unakua kama upo Njombe,Iringa au Kilimanajo, matunda ya kila aina huku na mboga mboga, nenda kilinda kilimo cha nafaka usiseme.. hizi kwangu ni baraka tosha.
10-Kilimanajaro..baraka za vyakula japo sio kwa wingi.
Mikao kama Dar,Mwanza, Arusha sioni kama inabaraka kwasababu naona mixture ya kila aina ya mema na maovu..
 
Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
f83839974e390f98ec071d3db7eca479.jpg


2. Mji wa Arusha...
4f98f6283005ad04e5aaf0a620a5796d.jpg


I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.

Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Imebarikiwa nini,milima??

Au unamaanisha baraka ipi??
 
Back
Top Bottom