jenerali kibibi
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,167
- 623
wenyeji wa dar hWawez kujivunia kwakuwa dar 95% waliojenga n wageniVijana wa mikoani mnapenda kujipendekeza ili muonekane wa mjini. Dar na Pwani ndio mikoa iliyobarikiwa ndio maana mnaona wivu ikitajwa wenyeji wa Dar/Pwani wazaramo/wandengereko. Mkimbizi wa Burundi kamwe hawezi kuwa raia wa TZ.
Soon mtasema na Mwanza kwa wasukuma kwenu. BTW Wazee/wenyeji wa Dar wapo wengi haichukui hata masaa ku-notice ingawa hawapigi kilugha kama watu wa vijijini.
Kubalini na mjivunie kwenu.
wenyeji wapo busy kucheza baikoko huko mkuranga na kisarawe porini walikosukumizwa,sasa utajivuniaje ardhi yako uliouza?