Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Hivi watu wa Dar ni akina nani
Chifu kibasila, jumbe tambaza, mshume kiyate, tewa said tewa, ramadhani minshehe wa mzuzuri, max mbwana, mshale kawambwa, said biboze (harambee), Sharif juned nk
 
moshi patamu sana yaaaan wewe achu tuuu duuuh lkn moshi hhahah patamu sana
Moshi mbona pa kizamani sana wala hapabadiliki miaka nenda rudi,nimewahi soma uko shule ya msingi mandela moshi mjini kwaiyo tusidanganyane apa
 
Na huu umeona umeleta bonge la uzi....lowasa hakukosea kusema Elimu Elimu Elimu
 
1.jpg
 
Chifu kibasila, jumbe tambaza, mshume kiyate, tewa said tewa, ramadhani minshehe wa mzuzuri, max mbwana, mshale kawambwa, said biboze (harambee), Sharif juned nk
Umewasahau wakina Mzee Shekilango, mzee Musahasan{Msasani} wakina Shabani Robert
 
sitaki kuweka picha ila mji mzuli ni pwani haswa ukianzia mkulanga bungu kibiti mpaka ikwiriri wenyewe tunaita ikwiza kalibun sana watanzania wenzangu
 
Punguza uchizi wewe, apa Dar es salaam, wazazi wetu baada ya kufika awo ndugu zako wazaramo wamekimbilia maporini wameogopa changamoto. Ivi wewe unaijua Dar es salaam unasema sema kama kapuku, unajua kuna waindi tumezaliwa nao umu umu kwenye National housing na awajui Kiswahili. Unaelewa kwa nn? Awajui Kiswahili
Kwa iyo ujinga ulio nao Jaribu kuficha. Dar es salaam aina wenyewe wewe, ndio jiji tunaloishi
Kwa hiyo unajivunia Dar es salaam?
Hutaki kujivunia kwa wazazi wako!
Ndio nyinyi mkiulizwa mnasema kwetu Dar es salaam na mie mzaramo.
 
Back
Top Bottom