Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Miji miwili iliyobarikiwa zaidi na Mungu Tanzania

Kila mji umebarikiwa Tanzania kutoka na vile vitu vinavyopatikana katika mji husika na miji mingine vitu hivyo hakuna.
 
Nyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora


Hukua na haja ya kutoa povu.

Just type Amen!
 
Nazungumzia
1. Mji wa Moshi.
f83839974e390f98ec071d3db7eca479.jpg


2. Mji wa Arusha...
4f98f6283005ad04e5aaf0a620a5796d.jpg


I'm telling you! Hii miji miwili ndiyo yenye baraka zaidi mpaka hiyo milima inaishuhudia.

Type Amen.
Kuibariki zaidi nawe utabarikiwa.
Muamba ngoma
 
Arusha kila rais wa tanzania alikuwa anakwenda kupumzika isipokuwa naskia kuna yule anayechukua watu wa kaskaz amegoma, ila moyoni anaipenda
 
  • Thanks
Reactions: ywf
k
yaani bora ungesifia kwetu Tanga Raha lakini huku kwa wanywa mbege na wavuta bangi hapafai kabisa, haya majamaa siku hizi yana sifa kuliko hata Wahaya
kwani bhangi na mbege zinaubaya ganii
 
Back
Top Bottom