mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 904
- 2,987
Ukiwa kijana unahitaji kufahamu haya mambo mawili 1. Kujua fursa 2. Kukubali kubadilika , kama mzee unahitaji kitu kimoja tu maishani 1. Utulivu , pesa inapatikana penye kundi kubwa la watu ( high populations more opportunities ). Huu Uzi nakutajia miji na vijiji ambavyo nivifahamu tanzania ambavyo vinakuwa kwa Kasi na wewe unawezaa taja unavyofahamu 1. Tunduma 2. Makambako 3. Kiwira 4. Katoro 5.mpanda Tanzania 6. Ubaruku hizi sehemu zina fursa ya biashara hizi .uuzaji wa spare , hardware, na uuzaji wa take away ,pembejeo