Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Santiago hapo nchini Chile na kule Mexico city ndani ya Mexico ( Mekiko ).

Nikajionee uhuni na magenge makubwa ya kihalifu jinsi yanavyofanya kazi.
 
Nahisi nikifika Newyork nitajisemea "Sasa bwana waweza mruhusu mtumishi wako kwenda kama ulivyonena"Niende nika pige selfie na lile li stutue of liberty,nivuke Brooklyn bridge kwa miguu,Kisha nipite los angel kidogo kabla ya kufika Miami kisha nirudi las Vegas,kabla sijapanda Emiretes airway kurudi Newcastle
 
Hahha mkuu utakua wewe ni shabiki mkubwa wa hip hop..Marekani mi inaniboa kwa mambo yao ya kutubagua weusi kutoka shitholes countries.
 
Kuna sehemu nyingine mtu mweusi ukienda wanakushangaa balaa,unakua the oddest one out.
hahaha kabisa yani na huko walivyo weupe lazima utajishtukia....wengi pia nywele nyekundu na brownish [emoji23][emoji28][emoji23]
 
hahaha kabisa yani na huko walivyo weupe lazima utajishtukia....wengi pia nywele nyekundu na brownish [emoji23][emoji28][emoji23]
Wenyewe wanawaita ginger au red heads. Na hata nchi nyingine za ulaya mashariki zilizokua urusi kina Estonia,Georgia,Bosnia,Serbia huko kote hawajawa exposed kwa watu weusi so ukienda lazima uwe "the only fish in the pond".
 
ni vizuri pia, utaweza pata company huko huko....ila tu kiukweli kuwa mwenyewe sehemu kama zile sucks big time.

maana utakua unaona watu either wawili wawili au group of friends...raha sana!

Pariiis[emoji556]
Kuna muda mtu unahitaji company yako mwenyewe
 
Newcastle ipi.. ya England au Canada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…