bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,370
- 3,962
- Thread starter
- #41
Aaah acha hizo mbona unakua mchoyoOoohh me ntaenda mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah acha hizo mbona unakua mchoyoOoohh me ntaenda mwenyewe
Sana mkuu hata mimi nataman sana kutembelea Yerusalem na miji mingine.Yerusalemu!
Nikapaone alipozaliwa Yesu Kristo, Mkombozi wa ulimwengu! Pia kuona maeneo mbali mbali ambayo huwa nayasoma kwenye Biblia!
Kuna habari nilisikia kuwa bustan ya eden kwasasa ni Iraq je inaweza kuwa ni kweli?Bustani ya eden hakuna ajuae ilipo kwa hakika
bustani ya eden nikaone uelekeo gani adam na mkewe walielekea
Angalia usije ukatekwa mkuu,wakauza maini,figo na moyo wako.Santiago hapo nchini Chile na kule Mexico city ndani ya Mexico ( Mekiko ).
Nikajionee uhuni na magenge makubwa ya kihalifu jinsi yanavyofanya kazi.
Speculations tu hizoKuna habari nilisikia kuwa bustan ya eden kwasasa ni Iraq je inaweza kuwa ni kweli?
Kuna sehemu nyingine mtu mweusi ukienda wanakushangaa balaa,unakua the oddest one out.Iceland..
Hahha mkuu utakua wewe ni shabiki mkubwa wa hip hop..Marekani mi inaniboa kwa mambo yao ya kutubagua weusi kutoka shitholes countries.Nahisi nikifika Newyork nitajisemea "Sasa bwana waweza mruhusu mtumishi wako kwenda kama ulivyonena"Niende nika pige selfie na lile li stutue of liberty,nivuke Brooklyn bridge kwa miguu,Kisha nipite los angel kidogo kabla ya kufika Miami kisha nirudi las Vegas,kabla sijapanda Emiretes airway kurudi Newcastle
hahaha kabisa yani na huko walivyo weupe lazima utajishtukia....wengi pia nywele nyekundu na brownish [emoji23][emoji28][emoji23]Kuna sehemu nyingine mtu mweusi ukienda wanakushangaa balaa,unakua the oddest one out.
Wenyewe wanawaita ginger au red heads. Na hata nchi nyingine za ulaya mashariki zilizokua urusi kina Estonia,Georgia,Bosnia,Serbia huko kote hawajawa exposed kwa watu weusi so ukienda lazima uwe "the only fish in the pond".hahaha kabisa yani na huko walivyo weupe lazima utajishtukia....wengi pia nywele nyekundu na brownish [emoji23][emoji28][emoji23]
Kuna muda mtu unahitaji company yako mwenyeweni vizuri pia, utaweza pata company huko huko....ila tu kiukweli kuwa mwenyewe sehemu kama zile sucks big time.
maana utakua unaona watu either wawili wawili au group of friends...raha sana!
Pariiis[emoji556]
Ina maana Iceland hakuna weusiKuna sehemu nyingine mtu mweusi ukienda wanakushangaa balaa,unakua the oddest one out.
Mwenyewe tuu itapendeza zaidiiMji mkuu wa kimahaba Duniani,unaenda na nani mama?
Newcastle ipi.. ya England au CanadaNahisi nikifika Newyork nitajisemea "Sasa bwana waweza mruhusu mtumishi wako kwenda kama ulivyonena"Niende nika pige selfie na lile li stutue of liberty,nivuke Brooklyn bridge kwa miguu,Kisha nipite los angel kidogo kabla ya kufika Miami kisha nirudi las Vegas,kabla sijapanda Emiretes airway kurudi Newcastle
Sio uchoyo mkuuAaah acha hizo mbona unakua mchoyo
kweli kabisa jakitooKuna muda mtu unahitaji company yako mwenyewe
Wapo ila wachache sana believe me na hawajazoea muingiliano na wageni weusi.Ina maana Iceland hakuna weusi