Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

Nahisi nikifika Newyork nitajisemea "Sasa bwana waweza mruhusu mtumishi wako kwenda kama ulivyonena"Niende nika pige selfie na lile li stutue of liberty,nivuke Brooklyn bridge kwa miguu,Kisha nipite los angel kidogo kabla ya kufika Miami kisha nirudi las Vegas,kabla sijapanda Emiretes airway kurudi Newcastle
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] amini
 
Mji tulivu utakaonifanya nipate amani ya kweli japo kwa mda mfupi.
 
..dubai
why mimi ni fan wa magari sana....
kule ni shamba la supercars....
ĺamboz.porschez and the likes.....
 
Lazima nikapande Mt Kilimanjaro. Sijawahi kanyaga kaskazini. Hii ni ndoto yangu toka nipo kadunchu.

Cape Town, S. Africa. Huu mji nasikia kuna wa TZ wengi wanaishi huko natamani nifike nione utamaduni na jinsi wanavyo endesha maisha yao huko. Also Jo'berg natamani

Rome, Italy. Sijui niielezeaje hii. Natamani niuone huu mji kulingana na historia yake kibiblia pia.
Usije jipendekeza kwa wabongo huko SA,hawana shobo na mtu kule ni mwendo wa (Do ya' thing nigga).
 
Havana inanihusu,nikaone yale Magari yao ya kizamanii.

Huko Himalaya+Alpes patahusika tena.
 
Back
Top Bottom