Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iceland paukwel sana kule mkuuWapo ila wachache sana believe me na hawajazoea muingiliano na wageni weusi.
Unaenda kusoma short course.... Uje kuwasumbua uku kwa maguSantiago hapo nchini Chile na kule Mexico city ndani ya Mexico ( Mekiko ).
Nikajionee uhuni na magenge makubwa ya kihalifu jinsi yanavyofanya kazi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aminiNahisi nikifika Newyork nitajisemea "Sasa bwana waweza mruhusu mtumishi wako kwenda kama ulivyonena"Niende nika pige selfie na lile li stutue of liberty,nivuke Brooklyn bridge kwa miguu,Kisha nipite los angel kidogo kabla ya kufika Miami kisha nirudi las Vegas,kabla sijapanda Emiretes airway kurudi Newcastle
Kama upi huo?0Mji tulivu utakaonifanya nipate amani ya kweli japo kwa mda mfupi.
Unataka nikwambie ni moi gani.. ....Kama upi huo?0
Ni huyo chizi,halafu hatusemi sisi anawasema kina fulaniHahha mkuu utakua wewe ni shabiki mkubwa wa hip hop..Marekani mi inaniboa kwa mambo yao ya kutubagua weusi kutoka shitholes countries.
England mzeeNewcastle ipi.. ya England au Canada
Usije jipendekeza kwa wabongo huko SA,hawana shobo na mtu kule ni mwendo wa (Do ya' thing nigga).Lazima nikapande Mt Kilimanjaro. Sijawahi kanyaga kaskazini. Hii ni ndoto yangu toka nipo kadunchu.
Cape Town, S. Africa. Huu mji nasikia kuna wa TZ wengi wanaishi huko natamani nifike nione utamaduni na jinsi wanavyo endesha maisha yao huko. Also Jo'berg natamani
Rome, Italy. Sijui niielezeaje hii. Natamani niuone huu mji kulingana na historia yake kibiblia pia.