Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

mimi napenda kwenda PARIS MZEE baba ..nikataliii kwenye ile bustani nadhifu ya pale elfei tower.nikitoka hapo niende mexico daahh huwa navutiwa mnoo nawale mademu wa kilatin America ..yaani huwa wananimaliza kabisaaa..kisha niende Indonesia pale new Papua Guinea nikaione ile Jamii ya watu weusi wenye macho ya blue na wale wenye nywele za blond...
sijasahau U.S .A KUNA watu wanaonivutia mnoo pale ijapo kuwa. kwa sasa ni marehemu nasio wengine niwale watukutu na wahalifu walioacha historian yenye mvuto bonie & cyde
pia ningepata nafasi ya kukutana na familia ya hayati Michael Jackson ningefurahi mnoo ..nampnda mnoo yule marehemu yeye na Dada yake Janet ..huwa wanaukonga moyo wangu ..
 
Asee wishlist yako si mchezo.
Paris,Havana,US,Papua New Guinea...
Mzee familia ya Wacko Jacko unataka kuiambia nini?Bonnie&Clyde wamekusisimua kwa uhuni wao?angalia usije ukamrubuni shem wetu Akageuka Clyde[emoji13] [emoji13]
Hata mie asee weusi wenye blue eyes wananistaajabisha na kuanza kufikiria kua watu weusi ni haswa chimbuko la watu wote duniani
 
mie najipanga nitembelee South Beach Miami na pia Guangzhou China. Addis Ababa, Dubai na Amsterdam nimeshafika mtoa mada ukienda sehemu hizo huwezi juta kabisa
 
Tupe story za Amsterdam hapo chief
 
Asee wishlist yako si mchezo.
Paris,Havana,US,Papua New Guinea...
Mzee familia ya Wacko Jacko unataka kuiambia nini?Bonnie&Clyde wamekusisimua kwa uhuni wao?angalia usije ukamrubuni shem wetu Akageuka Clyde[emoji13] [emoji13]
Hata mie asee weusi wenye blue eyes wananistaajabisha na kuanza kufikiria kua watu weusi ni haswa chimbuko la watu wote duniani
kwakweli mimi ni addicted mkubwa mnoo wa Michael Jackson ..walau ningepata hata chance ya kupata nao chakula cha jioni ..nakupata experience ya mafanikio makubwa waliyoweza kuyafikia kama familia katka tasnia ya music ..navutiwa mnoo na Janet hanaga makuu then urembo wake nikitu ambacho kinaniachiaga faraja pindi napo muona kwa TV ..magazet .na platform mbalimbali..
daahh kuhusu bonie & Clyde weeee acha tu mkuu navutiwa mnoo nauthubutu wao walikuwa nao kwenye mapnzi na kazi yao ijpo kuwa ilikuwa ni kazi haramu lakini kuna chakujifnza ..waweza chukua uthubutu wao naku uhamishia katka sekta mbali mbali za uwajibikaji naukajikuta wafikia malengo...

kuhusu watu weusi wenye blue eyed acha kabisaa ..nina pictr zao kibao nimezijaza kwenye device yngu napndaga kuwashangaa tu..
huwa naamini kuwa watu weusi ndio tabaka bora kbisa kuwahi kutokea duniani naipo siku tutarudi kukalia kiti chetu cha utawala wa ulimwengu
 
Unakumbuka kipindi Janet Jackson akiwa bado hot alivyo funuliwa titi moja la kushoto na Justine Timberlake jukwaani wkt waki perform mwaka 1994 au ulikua bado mtoto.
 
hahaaaa umeanza""nilikuwa bado mdogo ndio ..najua wataka kunikumbusha drama zake but ninafuu yake yeye kuliko hawa vichaa wa sasa kina rihhana .mile Cyrus..wewe umeshawahi kusikia damita Jo ..akihusishwa na mahusiano ya jinsia moja au uvutaji wa Madawa ..simaanishi kuwa hafanyi cus cjui undani wake ..but hata kama anafnyahuwa haruhusu hizo mambo zifike kwenye media wise
 
Hahah mkuu mi sijapinga yote uliyoyasema,nimeuliza tu unakumbuka hio shoo mkuu?
 
1994 I was 5yrs old..hahaaa yaani wakati wacko yupo kwenye kilele chake cha mafanikio mimi bado nilikuwa sparm mkuu
 
mimi napenda kwenda PARIS MZEE baba ..nikataliii kwenye ile bustani nadhifu ya pale elfei tower.nikitoka hapo niende mexico daahh huwa navutiwa mnoo nawale mademu wa kilatin America ..yaani huwa wananimaliza kabisaaa..kisha niende Indonesia pale new Papua Guinea nikaione ile Jamii ya watu weusi wenye macho ya blue na wale wenye nywele za blond...
sijasahau U.S .A KUNA watu wanaonivutia mnoo pale ijapo kuwa. kwa sasa ni marehemu nasio wengine niwale watukutu na wahalifu walioacha historian yenye mvuto bonie & cyde
pia ningepata nafasi ya kukutana na familia ya hayati Michael Jackson ningefurahi mnoo ..nampnda mnoo yule marehemu yeye na Dada yake Janet ..huwa wanaukonga moyo wangu ..
Hata mi MJ namkubali sana japo kashalisongesha!

Kaka zake akina Jermaine,Randy wamekuwa tapeli nowadays, yaani kifo cha kaka kimegeuka mradi!

Ukienda kuiona ile familia lazima utatupiwa hao watu, jiandae kuchangia chochote sio kusalimia tuu..
 
hahaaaa umeanza""nilikuwa bado mdogo ndio ..najua wataka kunikumbusha drama zake but ninafuu yake yeye kuliko hawa vichaa wa sasa kina rihhana .mile Cyrus..wewe umeshawahi kusikia damita Jo ..akihusishwa na mahusiano ya jinsia moja au uvutaji wa Madawa ..simaanishi kuwa hafanyi cus cjui undani wake ..but hata kama anafnyahuwa haruhusu hizo mambo zifike kwenye media wise
Janet " Damita Jo"...kimama kina pozi kile sijawahi ona!

Yaani ukimuuliza swali anakaa dk 5 ndo akujibu, unaweza kudhani bubu!

Nachompendea anajua kupiga pamba, na hajajikwatua na kitaulo kivile japo surgery za boobs na nostrils ni kwa sana, ila ana ngozi nzuri!

At 51 kimama kinaongea kama mtoto wa darasa la pili[emoji23] [emoji23]
 
Hata mi MJ namkubali sana japo kashalisongesha!

Kaka zake akina Jermaine,Randy wamekuwa tapeli nowadays, yaani kifo cha kaka kimegeuka mradi!

Ukienda kuiona ile familia lazima utatupiwa hao watu, jiandae kuchangia chochote sio kusalimia tuu..
Jermain namuelewa sana yule Jamaa anakasura flani Hivi kazuri ijapokuwa anazeeka still anaonekana gentleman wa haja ..hahaaaa usiniambie Jamaa wamekuwa wapigaji !!? aisee maisha kweli nyokooo

nampenda Paris Michael Jackson .though kabinti nikazuri japo kuwa nikamcharuko
 
Back
Top Bottom