Miji nayotamani kuitembelea na kwa sababu gani.

dadeq hahaaa kwahiyo Jamaa anakula kitonga ..daaahh yasije kumsibu kama Yale yliyo msibu yule bint wa Whitney maskini ..binti alikuwa haambiwi wala hasikii ..mwisho wa siku mauti yakamfika
 
Copacabanaaaaaaaaaaaa fukwe maarufu kuliko zote duniani
watoto wazuri muda mwingi wako kwenye dressing table kujipamba kuliko nchi yoyote duniani, machotara waukweli wamejaa kila kona ila ukienda shingo ufunge speed gavaner maana cyo kwa kugeuka huko [emoji14]
 
Huyo Mke wake wa zamani anaitwa Debbie Rowe, ni nesi ila sasa hivi kastaafu na anaumwa kansa....

Huyo mmama alipandikizwa mbegu na Dr Klein ( ndo mmiliki wa hiyo hospital na alikuwa bestie wa MJ)..

Mke wa pili wa MJ anaitwa Lisa Presley anazungumzia kwa kina kuhusu utata wa kufanya mapenzi ( anadai kukaa kote mamiaka na mamiaka na huyo jamaa hakuwahi kuona dyudyu yake!)
 
dadeq hahaaa kwahiyo Jamaa anakula kitonga ..daaahh yasije kumsibu kama Yale yliyo msibu yule bint wa Whitney maskini ..binti alikuwa haambiwi wala hasikii ..mwisho wa siku mauti yakamfika
Asee anaeza kuelekea huko, kanakula bangi kama ice cream! Hicho ki Michael ni kitoto chenzake hopeless kabisa! Na ndo anamuharibu...eti Paris alimpendea jina(Michael) linafanana na la babake! Bangi hizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] ..

Bobbi Christina ni zao la wale wazazi wanywa pombe, bangi, unga mbele ya watoto wao lazima arithi tuu...
 
Mji wa kwanza Dubai,nataka nikaone vitu vya kifahari kama majengo,barabara magari .
Mji wa pili ni Shanghai China nataka nione uzuri wa mji huu naskia uko modern kinyama loh!
 
Wa kwanza Lagos, usmart, kujiamini na swaga Zao,
Bila kusahau muvi zao.
Afrika bila Nigeria Sijui ingekuwaje
 
Mji wa kwanza Dubai,nataka nikaone vitu vya kifahari kama majengo,barabara magari .
Mji wa pili ni Shanghai China nataka nione uzuri wa mji huu naskia uko modern kinyama loh!
Majengo ya Dubai kama ya barabara ya mwenge Morocco mkuu usiogope.hahaha
 
Wa kwanza Lagos, usmart, kujiamini na swaga Zao,
Bila kusahau muvi zao.
Afrika bila Nigeria Sijui ingekuwaje
Wanaija wajanja sana na wanajiamini mpaka rahaa.kuna kitu cha kujifunza kutoka kwao.
 
Moscow, Russia kwa Vladimir Vladimirovich Putin!
Aisee nishawai ota niko Red Square!
 
Tuna-share hobby mkuu.
Mimi Addis Ababa ipo kwenye diary tayari.
nataka nifanye on land tour (nitumie barabara via Nairobi )

Nimejipanga kwa hili InshaAllah
Ule mpaka wa Ethiopia na Kenya sio salama uwe makini sana.
 
1.Dubai_ nataka nicheki Arabic lifestyle.
2. Miami_ nataka nicheki pic ambazo sija wai kuziona mixer Ku swim nazo afu fresh hawana noma... Sio mbogo ume mgusa tu kwa bahati mbaya kwenye pool pic ina aanza mayowe, kelele.
3. Paris[emoji556]_ Nataka ni improve uvaaji wangu.. Huku ndio kunako ma designers wa hatari. Vitu kuntu.
 
Yerusalemu!
Nikapaone alipozaliwa Yesu Kristo, Mkombozi wa ulimwengu! Pia kuona maeneo mbali mbali ambayo huwa nayasoma kwenye Biblia!

Mungu anijalie ila Jerusalem nimejipangia lazima niende
 
UAE ni balaa nishawahi kufika miji 2, Dubai na nikiwa na ethiopian airline, na Abudhabi nlitumia etihad. Hii miji kama ukifika full starehe yaan kama ni sheria yangu nlitamani niendelee kubakia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…