Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari Trump amewaambia wahamie misri na Jordan ili wajenge GazaMwisho wa Siku mpalestina atatolewa kwa nguvu pale
Ile propaganda Yao kuwa mitume na manabii wakiyahudi walikuwa waislamu Huwa wanakwambia unaona hata makaburi yapo misikitiniDaah nimeona hapo Ibrahim, isaka , yakobo na yusufu ni waislamu??
Jamani jamani.
Wanawachukia wayahudi wakati imani yao imejengwa kwa mababu za mayahudi.Ile propaganda Yao kuwa mitume na manabii wakiyahudi walikuwa waislamu Huwa wanakwambia unaona hata makaburi yapo misikitini
Kama hujui historia wanakubeba
Uislamu bila kujipendekeza na Kupora maeneo ya wayahudi na kujinasibisha na mababa wa kiyahudi Leo hii Uislamu ungekuwa unazungumzwa kama Ubudha ,Shiva , Rastafarian,
JF ni dude kubwa sana aisee. Kisima cha maarifa.Asante kwa maarifa.