Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
hivi wakatoliki ni wa Kristo? wamejiweka kuwa wa bikira mariaUkatoliki wanaitaka Yerusalemu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wakatoliki ni wa Kristo? wamejiweka kuwa wa bikira mariaUkatoliki wanaitaka Yerusalemu
Hii Israel?,hivo Trump na Netenyau wanajipanga kuhakikisha Israel inarejesha maeneo yake yaliyoporwa
Wanajiita hivo ,na wao ndio wakwanza kupokea Iman ya Ukristo kabla hawajaichanganya na upagani
Isra miraji ni ndoto ya ali nachaKama yaliosemwa ni ya kweli basi Uislam ni dini ya shari sana; kwamba Jerusalem Mohammed aliitembelea ndotoni (kulingana na kilicho andikwa humu ) basi umekua mji wao? Yaani mwarabu kauotea ndoto mji wa watu halafu umekua wa kwake? Na watu wanapigana kabisa yaani, same as Bethlehem, makaburi ya mababu wa Israeli/Wayahudi waarabu inawahusuje hadi na wao wapiganie mji wenye makaburi ya watu? Uislam ni mtihani ulioletwa duniani wallah, kikwazo kikubwa mno cha amani.
MajiniKwa nini mji wa Makkah na Madina haigombewi?
Sijaelewa mkuu; comeback please for more clarityIsra miraji ni ndoto ya ali nacha
Uislamu umejengwa kwa propaganda nyingi za uongo,Tulkarm /Tur Karma[4('mount of the vineyard')
Nablus/ neopolis- new city
jenin/Ein Ganim- "the spring of gardens"
fact waarabu (waislamu ) ni wavamizi waliojarib kubadi hadi majina ya miji na vijiji vya Israel
Yaani eti Uislamu unaitaka Yerusalemu kwasababu Muhammad aliotaIsra miraji ni ndoto ya ali nacha
MKatoliki gani alikueleza hii story ndugu? Una rejea yoyotebofficial ambayo inasema Wakatoliki wanaitaka Yerusalem? Wanaitaka waifanyie nini labda kwa mfano?Na anachofanya myahudi sasa ni kutaka kuyarudisha yale maeneo yake yote
Muislamu/Muarabu tamaa yake kubwa ipo Yerusalemu, ukichunguza zaidi utakuta na Wakristo/Wakatoliki wanaitaka sana Yerusalemu, na ukichimba zaidi utagundua Ukatoliki ulianzisha uislamu moja ya malengo yake ni kuitwaa Yerusalemu.
Waprotestanti sasa ambao humo wapo kina Trump Hawa wanawaunga mkono Israel, hata huku kwetu Hawa waprotestanti ndio wenye hizi bendera za Israel Hadi ndani ya makanisa
Mkatoliki yeye kwa ndani anaitaka Yerusalemu
Katoliki ni serikali iliyovaa vazi la diniuKristo ukishanganywa na upagani zao ni ushetani. Na ni hatari sana. Angalia sasa masomo/mafundisho ya (kwa mfano) ishu ya mtu aliyekufa kwenda toharani😏
Kasome historia ,acha KUTETEA udiniMKatoliki gani alikueleza hii story ndugu? Una rejea yoyotebofficial ambayo inasema Wakatoliki wanaitaka Yerusalem? Wanaitaka waifanyie nini labda kwa mfano?
Katoliki ni serikali iliyovaa vazi la dini
Dini ni harakati, propaganda za mwanadamu KUJIFANYA anamtafuta Mungu ,humo utafanyika utapeli , manipulation,n.k
Wokovu ni Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea
Katoliki Wana Hadi majeshi na intelligence ya hatari ,ile ni state ,ila imejificha kwenye vazi la dini