Miji sita inayogombaniwa na waislamu,Wayahudi na Wakristo

Wanajiita hivo ,na wao ndio wakwanza kupokea Iman ya Ukristo kabla hawajaichanganya na upagani

uKristo ukishanganywa na upagani zao ni ushetani. Na ni hatari sana. Angalia sasa masomo/mafundisho ya (kwa mfano) ishu ya mtu aliyekufa kwenda toharani😏
 
Tulkarm /Tur Karma[4('mount of the vineyard')
Nablus/ neopolis- new city
jenin/Ein Ganim- "the spring of gardens"

fact waarabu (waislamu ) ni wavamizi waliojarib kubadi hadi majina ya miji na vijiji vya Israel
 
Isra miraji ni ndoto ya ali nacha
 
Uislamu umejengwa kwa propaganda nyingi za uongo,

Uislamu bila kufanya propaganda za kujinasibisha na Uyahudi,ungekuwa sawa na Ubudha ,ungebaki Uarabuni tu
 
Isra miraji ni ndoto ya ali nacha
Yaani eti Uislamu unaitaka Yerusalemu kwasababu Muhammad aliota

Leo mwamposa aote New York City,aanzishe vuguvugu la kuitaka

But historically, Wakatoliki waliitaka sana Yerusalemu,kupitia Dola la Byzantine wakaanzisha uislamu

Wakati papa anakamatwa na jemedari wa kifaransa ,nyuma ya kiti chake palikutwa maneno ya ile shahada ya Uislamu
 
MKatoliki gani alikueleza hii story ndugu? Una rejea yoyotebofficial ambayo inasema Wakatoliki wanaitaka Yerusalem? Wanaitaka waifanyie nini labda kwa mfano?
 
uKristo ukishanganywa na upagani zao ni ushetani. Na ni hatari sana. Angalia sasa masomo/mafundisho ya (kwa mfano) ishu ya mtu aliyekufa kwenda toharani😏
Katoliki ni serikali iliyovaa vazi la dini

Dini ni harakati, propaganda za mwanadamu KUJIFANYA anamtafuta Mungu ,humo utafanyika utapeli , manipulation,n.k

Wokovu ni Mungu kumtafuta mwanadamu aliyepotea

Katoliki Wana Hadi majeshi na intelligence ya hatari ,ile ni state ,ila imejificha kwenye vazi la dini
 
MKatoliki gani alikueleza hii story ndugu? Una rejea yoyotebofficial ambayo inasema Wakatoliki wanaitaka Yerusalem? Wanaitaka waifanyie nini labda kwa mfano?
Kasome historia ,acha KUTETEA udini

Baada ya kushindwa kwa Vita vya Msalaba, Mapapa waliendelea kuwa na maslahi katika Yerusalemu, hasa kupitia utawala wa Wafranciskani ambao walipewa jukumu la kusimamia maeneo matakatifu ya Kikristo tangu karne ya 14.

Papa Clement VI aliwapa Wafranciskani dhamana ya kulinda maeneo matakatifu.

Upapa uliendeleza mahusiano na utawala wa Kiislamu ili kuruhusu mahujaji wa Kikristo kutembelea Yerusalemu.

Katika karne ya 19 na 20, Mapapa waliendelea kuonyesha maslahi kwa Yerusalemu, hasa kutokana na mgogoro wa Mashariki ya Kati.

Papa Pius XII aliunga mkono wazo la kufanya Yerusalemu kuwa mji wa kimataifa unaosimamiwa na mataifa ya Umoja wa Mataifa.

Mapapa wa Kisasa kama Papa Paulo VI, Papa Yohane Paulo II, Papa Benedikto XVI, na Papa Fransisko wamefanya ziara katika Yerusalemu ili kushinikiza amani kati ya Waislamu, Wayahudi,na Wakristo.
 
exactly.

YESU NI BWANA & MWOKOZI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…