Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kama unakaribia Dar es Salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya Dar es Salaam
Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio mazuri kwa kupendeza kwa macho cha ajabu yako vile vile hayabadiliki hili swali huwa najiulizaga sana
Inamaana tumeshindwa kufanya hii miji chalinze/msata kuwa mizuri na sio ķama ilivyo sasa kwangu mimi sio fair hata kidogo
NIKIWA RAIS KUTAFANYIKA MABORESHO MAKUBWA SANA YA MJI WA CHALINZE NA MSATA NA NI KAMA YAFUATAYO
www.jamiiforums.com

- Kutajengwa flyover ili magari ambayo hayana mpango wa kusimama yakifika yanapita direct
- Barabara zitakuwa Pana sana magar nane yanatakiwa yapishane
- Majengo yataboreshwa na sio kama sahivi yapo local sana
- Makazi ýa watu yataboreshwa kwa watu kufuata mipango miji
- Hotel zitajengwa kwa utaratibu mzuri- Hotel na sehemu za kula kwa miji ya msata na chalinze ziko local sana, vyoo vichafu sio vizuri hii hali ikaendelea
- Yale maeneo ya mjini yatapigwa paving kote na hakutakuwa na vumbi
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way 👇👇👇👇👇👇👇👇 Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...