Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kuna sehemu kwenye uzi nimesema watu watahamishwa ebu nionyesheKwa hiyo mkuu tuhame njoo ununue maeneo mkuu watu walionunua mapema wanapiga hela kwawachina
Miji mingi iliyokaribu na Dar, imelala yoo, kuanzia chalinze, kibaha, mlandizi, kisarawe, nkKama unakaribia dar es salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya dar es salaam
Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio mazuri kwa kupendeza kwa macho cha ajabu yako vile vile hayabadiliki hili swali huwa najiulizaga sana
Inamaana tumeshindwa kufanya hii miji chalinze/msata kuwa mizuri na sio Δ·ama ilivyo sasa kwangu mimi sio fair hata kidogo
NIKIWA RAIS KUTAFANYIKA MABORESHO MAKUBWA SANA YA MJI WA CHALINZE NA MSATA NA NI KAMA YAFUATAYO
Baada ya mda au miaka kadhaa mtu akiwa anaenda Dar es salaam akifika chalinze au msata anajua kabisa anaenda kwenye mji mkubwa wa Tanzania
- Kutajengwa flyover ili magari ambayo hayana mpango wa kusimama yakifika yanapita direct
- Barabara zitakuwa Pana sana magar nane yanatakiwa yapishane
- Majengo yataboreshwa na sio kama sahivi yapo local sana
- Makazi Γ½a watu yataboreshwa kwa watu kufuata mipango miji
- Hotel zitajengwa kwa utaratibu mzuri- Hotel na sehemu za kula kwa miji ya msata na chalinze ziko local sana, vyoo vichafu sio vizuri hii hali ikaendelea
- Yale maeneo ya mjini yatapigwa paving kote na hakutakuwa na vumbi
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Hoja zako hazitoshi wewe kua raisi labda rahisi.. nilitegemea utafanya uwekezaji mkubwa wa mapinduzi ya viwanda ili vitu vingine watu watoke dar kuvifata chalinze na msata pawe bize sana ndipo uweke sasa hizo hoja zakoKama unakaribia dar es salaam kama umetokea morogoro ni wazi kwamba ukifia chalinze ni kama unaanza pata picha jiji la dar es salaam, same kwa msata kama unatokea njia ya Tanga ukifika msata ni kama umeanza kupata picha ya dar es salaam
Ila cha ajabu unapofika chalinze au msata haya maeneo sio mazuri kwa kupendeza kwa macho cha ajabu yako vile vile hayabadiliki hili swali huwa najiulizaga sana
Inamaana tumeshindwa kufanya hii miji chalinze/msata kuwa mizuri na sio Δ·ama ilivyo sasa kwangu mimi sio fair hata kidogo
NIKIWA RAIS KUTAFANYIKA MABORESHO MAKUBWA SANA YA MJI WA CHALINZE NA MSATA NA NI KAMA YAFUATAYO
Baada ya mda au miaka kadhaa mtu akiwa anaenda Dar es salaam akifika chalinze au msata anajua kabisa anaenda kwenye mji mkubwa wa Tanzania
- Kutajengwa flyover ili magari ambayo hayana mpango wa kusimama yakifika yanapita direct
- Barabara zitakuwa Pana sana magar nane yanatakiwa yapishane
- Majengo yataboreshwa na sio kama sahivi yapo local sana
- Makazi Γ½a watu yataboreshwa kwa watu kufuata mipango miji
- Hotel zitajengwa kwa utaratibu mzuri- Hotel na sehemu za kula kwa miji ya msata na chalinze ziko local sana, vyoo vichafu sio vizuri hii hali ikaendelea
- Yale maeneo ya mjini yatapigwa paving kote na hakutakuwa na vumbi
Support hustle zangu mimi Rais mtarajiwa wa Tanzania
Maandalizi na mchakato wa kuwa Rais wa Tanzania yanaendelea at the same time harakati za kutafuta rizki zinaendelea in-short maisha lazima yaendelee JAMANI NAOMBA MNIUNGISHE Historia nzuri ni ile inayoandikwa in an ugly way, and awkward way ππππππππ Kwenye historia ya Tanzania ntakumbukwa kuwa...www.jamiiforums.com
Nina nyuzi nyingi sana nimeshaelezeaHoja zako hazitoshi wewe kua raisi labda rahisi.. nilitegemea utafanya uwekezaji mkubwa wa mapinduzi ya viwanda ili vitu vingine watu watoke dar kuvifata chalinze na msata pawe bize sana ndipo uweke sasa hizo hoja zako
Haitakiwi ilale hivyo sio fair kuendelea kuwa hivyoMiji mingi iliyokaribu na Dar, imelala yoo, kuanzia chalinze, kibaha, mlandizi, kisarawe, nk
Hiyo msata, na chalinze ni kama sample ila iyo yote uliyoitaja kama ikwiriri, kibiti, kamazichana, kisemvule inatakiwa iwe mara mia zaidi ya ilivyoVipi Ikwiriri, kibiti, Kimazichana na Mkuranga?
Vipi Kisarawe na Bagamoyo?
Kama inaandikwa habari kwa jamii forum ilitakiwa iwe kwa ukubwa huo.Hiyo msata, na chalinze ni kama sample ila iyo yote uliyoitaja kama ikwiriri, kibiti, kamazichana, kisemvule inatakiwa iwe mara mia zaidi ya ilivyo